Breaking: Netanyahu akubali kusitisha vita baada ya shambulio la Iran asubuhi ya Leo 24.06.2025

Hapo kama Iran ndio ingekuwa imeanzisha hii vita kisha Iran ikasema basi Israel kamwe asingekubali sulphur

Ila Iran na waislamu kwa ujumla ni watu wastaraabu. Japo Iran alitakiwa awachape mfululizo kwa mwezi mzima ndio isikilize upuuzi wao wa ceasefire
 
Lengo kuu limetimia hamna haja ya kupigana tena until circumstance deem it necessary.
Kuharibu uwezo wa Iran kuwa na nuclear bomb na mifumo yake.

Power, Precision and Purpose
 
Hao watu 20 waliouwawa ukiwemo na wewe? Habari za Ceasefire zilikuwepo toka jana usiku na Iran imeshambulia leo asubuhi hivi uongo na Upotoshaji huwa unawasaidiaje?
 
Vinu vya nukes vimeenda na hili ndio lilikuwa lengo kuu la uvamizi.

Wanajeshi na wana sayansi wameenda

Magala ya silaha na missile louchers zimeenda

Viwanda vya kuunda drones na silaha vimeenda kwa wingi tu
..
. Haya twambie Iran wamefanikiwa kuzuia kitu gani hadi uwapongeze?
 
Huge defeat. Congratulations to Iran

Pamoja na US kuingilia kati lakini wapi

Hicho kipigo cha jana cha Qatar na Iraq kwenye kambi za jeshi la US
US kaona usiwe shida, kamlazimisha Netanyahu kusurender

AIBU KUBWA KWA TAIFA TEULE
😂 😂 😂 Kombora zote zilitunguliwa!

Vipigo gani sasa?
 
Ayatollah amegwaya maanake alishaona kabisa anakufa hadi akaandaa warithi lakini sasa awe tayari kusaini makubaliano ya kuachana kabisa na utengenezaji wa silaha za nyuklia ili walau aendelee kuishi kama kiongozi mkuu.
 
😅😅😅Taifa la Mungu wamepondwa 😅😅hapo mpaka wamvizie tena ,waje na kauli ya regime change 😅😅.

Komeo Lachuma njoo uone wajinga wenzio walivyochezea ,unalilia sana Dm yangu.

Una elimu gani? Maana sometimes naweza nikawa nabishana na form 4 failure.
Your browser is not able to display this video.
 
Ayatollah amegwaya maanake alishaona kabisa anakufa hadi akaandaa warithi lakini sasa awe tayari kusaini makubaliano ya kuachana kabisa na utengenezaji wa silaha za nyuklia ili walau aendelee kuishi kama kiongozi mkuu.
Hujui kua Iran imeshajitoa kwa hao wachunguzi uchwara wa nuclear
Hii inaitwa nafanya nitakalo
 
Muda huu iran wamefyatua makombora mengine kuelekea tel Aviv
Sasa hizi adithi za kufikirika za Natenyahu,Trump pamoja na wapambe wao zimeishia wapi - si Nayenyahu alisema Iran imepata kipigo kikali hawana tena missile hata moja iliyobaki zote zimelipuliwa no jeshi imara la Israel - cha ajabu asubuhi ya leo Iran ikarusha missiles chungu nzima kwenda Israel na kusababisha madhara/hasara kubwa kwa Israel, hawakuishia hapo walishambulia vile vile kituo kikubwa cha jeshi la anga LA Merikani huko Qatar pamoja no jkituo cha Jeshi la anga la Merikani huko Iraq!!
 
Tupatie ushahidi na siyo adithi za Natenyahu za kufikirika tu!!
 
ustaarabu wa waislamu wa Shia hao jamaa wa suruali fupi na kobazi sijawahi kuuona hata huku mtaani wanatusumba sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…