Lengo la Israel lilikuwa ni kuharibu mitambo yote ya Nuclear ya Iran. Na wamekamilisha hilo, kulikuwa na haja gani ya kuendelea na vita?? Israel inapigana kwa kutumia akili ya hali ya juu sana, haipigani kwa mihemko tu kama kuku aliyekatwa kichwa.Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea.. View attachment 3381147View attachment 3381148
Iran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!
Pia hutakaa usikie Iran anafadhili magaidi tena
Mitambo ipi imeharibika myahudi wa msomela??? Sasa mtashika akili ile kauli mbiu ya taifa teuli haliguswi nadhani mmejionea tofauti ya wanaume na mapungaLengo la Israel lilikuwa ni kuharibu mitambo yote ya Nuclear ya Iran. Na wamekamilisha hilo, kulikuwa na haja gani ya kuendelea na vita?? Israel inapigana kwa kutumia akili ya hali ya juu sana, haipigani kwa mihemko tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Myahudi wa kazulamimba unateseka sana, sasa ile taifa teule halipigwi naona umejionea, hakuna maelezo ya zida case closed.
Mwongo wewe. Makubaliano ya kusitisha vita yalifikiwa jana kabla la shambulio hilo la Iran. Na makubaliano hayo yalikuwa yamesimamiwa na Watar. Kufuatia makubaliano Iran ilisema itasitisha mashambulizi baada ya masaa 6toka Tangazo lilipotolewa. Na Israel ikasema itasitisha baada ya masaa 12. Shambulio la Iran lilikuwa ndani ya masaa 6 kabla ya usitishaji kuanza.
Shambulio la mwisho la Iran halina uhusiano wowote na usitishaji vita. Muwe mnajishughulisha kufuatilia ukweli wa mambo kuliko kuropoka ovyo halafu baadaye unaoneka mwongo au mjinga na wale wanaofahamu.
Hahahaha, taifa teule sijui mtabaki na hoja gani, wasiopenda ushoga umeona walichokifanya, yupo peke yake siku 8 taaabani mapungaVinu vya nukes vimeenda na hili ndio lilikuwa lengo kuu la uvamizi.
Wanajeshi na wana sayansi wameenda
Magala ya silaha na missile louchers zimeenda
Viwanda vya kuunda drones na silaha vimeenda kwa wingi tu
..
. Haya twambie Iran wamefanikiwa kuzuia kitu gani hadi uwapongeze?
Kaa kwa kutulia we mvaa kobazi... Iran wako huko wanaweweseka, ndo wanataka kujitutumua kurusha vikombora vyao.Mitambo ipi imeharibika myahudi wa msomela??? Sasa mtashika akili ile kauli mbiu ya taifa teuli haliguswi nadhani mmejionea tofauti ya wanaume na mapunga
Kamanda Mkuu wa majeshi ya ulinzi leo asubuhi ameipiga Marekani mkwara mzito ya kwamba wakirudia tena kuishambulia Iran basi watawafanyia tukio baya na la kihistoria!! Sasa tunasubiri kama mashambulizi yatarejea tena, au na mungu wa Israel naye ataufyata mkia wake!Benjamin bhana angetaka vita na waajemi ilibidi ajiandae sana na ungepita muda toka atoke kwenye vita ingine hao jamaa ni wagumu nadhani kuliko watu wote kwa ukanda wa hizo Nchi ikiwa Trump kanusa harufu ya hatari na kusitisha vita ujue hao jamaa sio watu..
Unapotosha kiongozi. NI kwamba USA ikishirikiana na wadau wake kama Qatar na UAE ktk kulunda interests zao wameomba Iran na Israel kuingia ktk Cease fire tena za muda, hapo then zitakuwa endelevu. Iran imekubali pia na pamoja na kwamba kuna conflicting story za wahuni waliojifanya kuongea kwa niaba ya IRGC eti bawataki ceasefire.Ofisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea.. View attachment 3381147View attachment 3381148
Asubiri upinzani sasa nchini kwake,wale ndugu zao waliochukuliwa mateka na hamas wana hasira na netanyahu zaidi ya hasira waliyokua nayo kwa hamasHawezi kurudia uchokozi Tena moto anaopelekewa ni hatari sanaaa
Hamna kitu atarudi tu anafanya maigizo tu. Ayatollah aliishaandaa hadi warithi ila Trump amemsamehe kwa makubaliano maalumu kwamba atasain mkataba wa kuacha kabisa mpango wa kumiliki silaha za nyuklia.Hujui kua Iran imeshajitoa kwa hao wachunguzi uchwara wa nuclear
Hii inaitwa nafanya nitakalo
Sasa kati ya wairani na wewe mmatumbi koko nani wakusikilizwaHamna kitu atarudi tu anafanya maigizo tu. Ayatollah aliishaandaa hadi warithi ila Trump amemsamehe kwa makubaliano maalumu kwamba atasain mkataba wa kuacha kabisa mpango wa kumiliki silaha za nyuklia.
Irani oyee,lkn kuweni makini zaidiOfisi ya waziri mkuu wa Israel imetangaza kuwa waziri mkuu Benjamin Netanyahu amekubali kusitisha mapigano na kwamba eti Israel imekamilisha malengo yote muhimu ya vita
Hii kauli imekuja baada ya Iran kufanya mashambulizi makubwa asubuhi ya Leo kusini mwa Israel katika mji wa Beersheba na kupelekea vifo vya watu 20 huku mamia wakiwa wamenasa kwenye vifusi. Juhudi za uokoaji zinaendelea.. View attachment 3381147View attachment 3381148
Kabisaa tena ni OGKuanzia sasa TAifa Teule ni Iran ..