Kichekesho cha karne hiki."Israel has eliminated a dual, immediate existential threat - both in the nuclear and ballistic missile realms
Angel angel angel
Kama una elimu nioneshe project yako au ya ukoo wenu moja ,nikuoneshe zangu 100 .
Mjinga unalialia hapo😅😅😅Mmepigwa mashoga nyie.
Acha ngonjera mkuu!Kichekesho cha karne hiki.
Yaani moto aliopelekewa leo na namna mji wa Beersheba ulivyogeuzwa vifusi halafu unapigwa propaganda za kijinga kabisa eti wamelemaza uwezo wa makombora.
Jana Iran kapiga kambi tatu za kijeshi za Marekani kwa mpigo halafu bado unadanganyika kiboya namna hii?
Wanajeshi wa Marekani kambi ya Al Ubeid Qatar bado wanapangusa vumbi waliloshushiwa na Iran.😂
Hahahahah....khaaa
Usitudanganye hapa,ushirika wa Hizbollah,Houth na Iran uko pale pale.Iran kwa sasa wataanza upya maana wamelemazwa kila pande!
Pia hutakaa usikie Iran anafadhili magaidi
Hahahahaha!! AI Wana upumbavu mwingi sana.
Unaropoka nini wewe?Lengo la Israel lilikuwa ni kuharibu mitambo yote ya Nuclear ya Iran. Na wamekamilisha hilo, kulikuwa na haja gani ya kuendelea na vita?? Israel inapigana kwa kutumia akili ya hali ya juu sana, haipigani kwa mihemko tu kama kuku aliyekatwa kichwa.
Hao Hezbollah na haouth hivi bado wapo?Usitudanganye hapa,ushirika wa Hizbollah,Houth na Iran uko pale pale.
Vifo VIPO vingi zaidi ya hivyo.Acha ngonjer
Acha ngonjera mkuu!
Vikombora alivyorusha Qatar vyote imetunguliwa hizo kambi zimepigwa wapi?
Iran kapiga Israel mpaka sasa waisrael waliokufa ni 24 ila Iran ni zaidi ya 600.
Huoni aibu kuendelea kusema kumegruzwa kifusi.
Wapo,tena hususan Houthi walishiriki tarehe 17 kwenye mashambulizi dhidi ya Israel.Hao Hezbollah na haouth hivi bado wapo?
Unamdanganya nani wewe?Mpuuzi kweli wewe, masaa sita yaliyotolewa ianze ceasefire pamepigwa Iran usiku kucha ulilala?
Mabomu yanapigwa huko we ulikua unachamba mafi.Unamdanganya nani wewe?
Aiseee una hasira vifo vimetokana na nini kama hakuna madharaMabomu yanapigwa huko we ulikua unachamba mafi.
Vimepigwa vitu toka tangazo la trump mpk kunakucha.
Kobazi wameamka asubuhi wakarudisha vikombora uchwara.
Hakuna damage, nyinyi huko mna matatizo wamevunja kila kitu.