Breaking News: Maelfu ya Vijana Wakutana Kuunga Mkono Rais Samia na Kuonya Dhidi ya Vurugu Nchini

stupid as stupid is
 
ajabu yake hao hao kuna siku watatekwa, na watahitaji chadema wawapazie sauti. mimi sio mwanachadema, ila hoja ya chadema kuhusu utekaji ina mashiko yote.
 
Watu, vijana wameacha kufikiria kwa kutumia ubongo now wanafikiria kwa kutumia makalio.
 
Hiki ni kile kikundi cha Rapid Force cha UVCCM.
 
Ajira portal imewashinda,sasa mnahamia kwenye siasa.


Kwenye siasa ni pagumu kuliko mnavyodhani!

Mbati aliyepata ajali na JPM wangefufuka angewasimulia.
 

Attachments

  • IMG-20240921-WA0089.jpg
    54.1 KB · Views: 1
Hoa Mbwa muwaambie wakae nyumbani kupikia watoto...Huu ni MTITI wa kupigania HAKI msi lete umama mama kwenye mambo MAZITO YANAYO VUJA DAMU!!!
Utafikiri you mean what you are saying keyboard warrior?Tokeza kesho utajua hujui.
 
Vijana wa CCM Dar, eneo lao la kukutana ni lilelile.
Kwanini wengine kwao iwe ruksa kukutana huku wengine iwe ni marufuku?
Hawa wanakutana kwa nia njema, nyie mmeamua kutafuta ugomvi
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…