nokwenumuya
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 820
- 2,896
- Thread starter
- #81
Duuu. Wanaona 1.5m inaokotwa hivi. Wakajiuze kama wanataka urahisiBrela hovyo kabisa ,Mimi niliwahi kwenda pale Posta ,,wakanitaka 1,500,000/= kubadilisha wamiliki .
Nimesusa kanisa .
Mjasiliali ndiyo naanza maisha kibiashara ili kupambana na umasikini lakini watu walio ofisini Kwa kwaajili yetu na wanalipwa mshahara wanakwamisha juhudi hizo za watanzania