KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

KERO BRELA huduma zao mbovu hadi uwahonge pesa ndio wanakamilisha kazi yako

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Brela hovyo kabisa ,Mimi niliwahi kwenda pale Posta ,,wakanitaka 1,500,000/= kubadilisha wamiliki .

Nimesusa kanisa .

Mjasiliali ndiyo naanza maisha kibiashara ili kupambana na umasikini lakini watu walio ofisini Kwa kwaajili yetu na wanalipwa mshahara wanakwamisha juhudi hizo za watanzania
Duuu. Wanaona 1.5m inaokotwa hivi. Wakajiuze kama wanataka urahisi
 
ORS ilinunuliwa kwa 2.6 B na service fee kwa mwaka ni 600m. Sasa wanakosaje update wakati kila mwaka wanalipia 600m. Though ni ufujaji bado
Hakuna anayejali gharama za Serikali. Kama unavyoona, pesa za ndani zinafujwa wakati pesa za mikopo na misaada zikitumainiwa kufanya maajabu.
 
Control number unalipia. Kisha unaambiwa Ili iende haraka utoe pesa. Usipotoa inaenda kawaida.

Kama Brela ilinunua Online Registration System kwa 2.6 bilioni na service fee 600m kila mwaka kwanini haifanyi kazi automatically?

Ni uhuni na tamaa tu. Ndio mtu akiona muda unazidi kwenda na hao watu hawana hofu ya kuwajibishwa inabidi tu atoe pesa aweze kuendelea na kazi zake
Mkuu na wewe utakua una ajenda yako tu, toka jana unapiga maneno tu hamna ushahidi wowote... Kama una ushahidi sema hapa kama hauna futa post yako... Ni chuki binafsi tu zitakuwa...kama hamna ushahidi tuambie tujue moja hapa... Kuna mambo mengi ya kujadili
 
Tumeomba ushahidi yeye ana bwabwaja tu. mara 2.6 B za kununua ORS Mara 600 M aweke ushahidi hapa, watu tumehangaika sana enzi zile ushirika unatoka Mwanza kwenda sajili Kampuni Dsm, mambo yanawekwa kwenye mifumo watu hawataki na kuleta chuki.

swala lingine la kumuongezea ni kuwa kumekuwa na kasumba ya kampuni kuambiwa wafile annual return kwa wakati hawafanyi anapata tenda au anafika Bank kutaka mkopo akiombwa Status za BRELA ndo wanaanza kumbwela na kutaka haraka ambazo zinapelekea kutafuta watu wa kati wanawapiga, wafate utaratibu na kuepusha uzushi usio na maana

aweke ushadi
 
Mkuu na wewe utakua una ajenda yako tu, toka jana unapiga maneno tu hamna ushahidi wowote... Kama una ushahidi sema hapa kama hauna futa post yako... Ni chuki binafsi tu zitakuwa...kama hamna ushahidi tuambie tujue moja hapa... Kuna mambo mengi ya kujadili
Hujaona wote waliolalamika hapa na kutoa malalamiko yao dhidi ya Brela? Wewe unamiliki hata business name?
 
Hakuna anayejali gharama za Serikali. Kama unavyoona, pesa za ndani zinafujwa wakati pesa za mikopo na misaada zikitumainiwa kufanya maajabu.
Aibu sana na kukosa uzalendo
 
Hii nchi upande wa system/Teknolojia bado tunaishi kwenye mawazo ya 1960 inatakiwa pasafishwe kote vizee vyote vife au vistaafishwe tuanze upya! Yaani hata kenya na rwanda wametuacha mbali sana duh!
 
Utitiri wa kodi na ada za ajabu ajabu, bado na rushwa wanataka.
What the hell
 
Hii nchi upande wa system/Teknolojia bado tunaishi kwenye mawazo ya 1960 inatakiwa pasafishwe kote vizee vyote vife au vistaafishwe tuanze upya! Yaani hata kenya na rwanda wametuacha mbali sana duh!
Hawapendi teknolojia, hata wakiletewa Bado wanaihujumu
 
Ilibidi takukuru wakiona huu Uzi wakufuate inbox haraka wafanye Kazi yao lakini na wenyewe watasoma wapite kimya kama vile haiwahusu.
 
Ilibidi takukuru wakiona huu Uzi wakufuate inbox haraka wafanye Kazi yao lakini na wenyewe watasoma wapite kimya kama vile haiwahusu.
Mtoa mada ni mzushi! Kuna kitu anatafuta! Period!
 
Mpuuzi wewe. Kama sio mfanyakazi Brela utakuwa unafugwa kama mfugo
Juzi ulichapisha mada hapa, wachangiaji wakaomba mawasiliano ya huyo afisa wa Brela.

Uliahidi asubuhi ya jana ungeliweka mawasiliano hayo kwasababu uliwasiliana nae kupitia namba ya mfanyakazi wako.

Jana ilipofika, ukakataa kuweka mawasiliano hayo hadharani kwa kudai kwamba stori za wadau zinatosha kuwa ushahidi wa aliyekuomba rushwa, right?

Leo, unawalaumu TAKUKURU eti hawajakufuata PM, huoni kama wewe ndie mkwamisha juhudi za hao TAKUKURU?

Ukiitwa mzushi, mwenye lako jambo unakuwa mkali kama ndimu! [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Kuna ile portal kwaajili ya kukata leseni ya biashara, inaitwa TAUSI. Hiyo ndio balaa kabisa, yani kuna jamaa alikalia application yangu, akanipigia simu niende ofisini kwake, baada ya kumpa hela, akapitisha application yangu online. Yaani tabu sana.
 
Ninafikiri ni kila mahali. Nilikuwa ninafuatilia hati yangu kule ardhi mambo nilyokutana nayo yalinikatisha tamaa na nimeamua kuwaachia ilo file maana sina cha kufanya na pesa sitawapa. Mpaka nimejuta kwa nini nilianza huo mchakato. Ikiwa wabunge wameingia kwa rushwa basi hakuna wa kutusaidia. Kama taifa tuna shida kubwa sana tunakoelekea na kizazi chetu si kuzuri. Tunahitaji kumwomba Mungu aweze kurehemu hii nchi maana inakuwa kama nchi iliyolaaniwa.
 
Mkuu na wewe utakua una ajenda yako tu, toka jana unapiga maneno tu hamna ushahidi wowote... Kama una ushahidi sema hapa kama hauna futa post yako... Ni chuki binafsi tu zitakuwa...kama hamna ushahidi tuambie tujue moja hapa... Kuna mambo mengi ya kujadili
Kwa ORS platform ya Brela ... control number zinaletwa promptly. Binafsi, na Mimi nahitaji ushahidi wake.
 
Back
Top Bottom