Bro to bro: Ukiona wana siku hizi hawakutafuti usiwaone fake friends adulthood sio poa

Bro to bro: Ukiona wana siku hizi hawakutafuti usiwaone fake friends adulthood sio poa

Xi Jinping

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2023
Posts
9,548
Reaction score
28,817
Kusema tu ukweli utu uzima (adulthood) sio rahisi kwa kila mtu. Watu wako busy trying to make something out of their lives.

Wengine wanadeal na heartbreaks huenda zilizosababishwa na mgogoro wa ndoa, kupoteza kazi, biashara kuyumba au kufirisika, ugonjwa wa kudumu, kufiwa na beloved ones n.k

Wengine career stress kazini, wengine wanapambana kuweka vyema kwa washua wao na kuwapambania ndugu zao wa karibu.

Adulthood inaambatana na kujenga future za watoto wao, wako na family and bills dont stop.

Wengine ni jobless wanajitafuta, wengine wamejiajiri kuamka kwao ndio kuingiza kwao riziki, wengine wako private sector high pressure environments where job security is never guaranteed unaweza kuwa jobless next day.

In short adulthood mambo ni mengi muda mchache kila unalofanya unakimbizana na umri.

Kwa hiyo ukiona rafiki/marafiki au ndugu are communicating less usidhani wamekukataa uanze kuwaita fake friends, ni maisha magumu.

Tunarudia tena adulthood sio rahisi kwa kila mtu
 
IMG_7660.jpeg
 
mambo ya kuwategemea wengine yatakushangaza
Kuna ngoma aliimba Adili akimshirikisha Domo Kaya "Peke yangu naona bora peke yangu"

Mule ndani kwa dakika 5 na sekunde 33 Adili aliongea facts sana hasa kuhusu yale ambayo wanaume tunapitia utu uzima

Ile ngoma kadiri unavyokua kwenda adulthood unazidi kumuelewa Adili
 
Nina jamaa zangu kadhaa toka 2023 tulikuwa tuna utaratibu wa kujumuika jioni, kupiga soga, maziwa na hata vyakula.

since 2025-2026 mambo yame change kabisa, kuonana mara 2 kwa mwezi ni kipengele mno.

Japo wengi wao ni wazee, ila naona kabisa vipaumbele vime badilika.
Sahihi, hii huwa inatokea sana hasa na wale wana mliotoka hood ikishafika muda wa kuchomoka kwa washua kila mmoja kipaumbele hubadilika

Unajikuta na mwana mliyekuwa wote zinaiva kitaa hamna hata ule muda wa kuzungumza kirefu kama enzi zile kwa sababu kila mtu ana kipaumbele chake
 
Sijui ndio mentality yangu au niko old fashioned Sana, ila marafiki zangu wengi wame nizidi umri 7- 20 huko.

But I find it cool.
 
Sijui ndio mentality yangu au niko old fashioned Sana, ila marafiki zangu wengi wame nizidi umri 7- 20 huko.

But I find it cool.
Kuwa na marafiki waliokuzidi umri sio mbaya, wewe mwenye umri mdogo utafaidi sana uzoefu wao

Hii itakusaidia kuanza kujengeka mapema hasa ikiwa wanakupa madini kuhusu maisha

Kwa kijana maisha yanahitaji sana uwe na mentors
 
Back
Top Bottom