Bro to bro: Ukiona wana siku hizi hawakutafuti usiwaone fake friends adulthood sio poa

Kuna wakati mwanaume unaweza ukaamua tu kukaa peke yako unatafakari future yako akilini

Hapo hesabu zinazopigwa akini mwako hakuna mwingine anaweza kukuelewa ni wewe mwenyewe tu
Kabisa,nowdays sipendi hata kusikiliza mziki ,hasa kwa sauti kama zamani...napenda nitulie,nilikuwa najiuliza kwanini watu wazima wengi hawapendi kwenda pubs au bar zenye makelele,now nimejua .

Marafiki wako bize, now ni kuwasiliana na ndugu tu.ukiwa mtu mzima utajua umuhimu wa ndugu zako
 
You have hit on the spot mdau..
Yaja misemo...
Kuwa uyaone....
DUNIA tambarare...
Beba mzigo wako...
nk nk nk
 
Kabisa,nowdays sipendi hata kusikiliza mziki ,hasa kwa sauti kama zamani...napenda nitulie,nilikuwa najiuliza kwanini watu wazima wengi hawapendi kwenda pubs au bar zenye makelele,now nimejua .

Marafiki wako bize, now ni kuwasiliana na ndugu tu.ukiwa mtu mzima utajua umuhimu wa ndugu zako
Umesema vyema
 
Back
Top Bottom