Bro to bro: Ukiona wana siku hizi hawakutafuti usiwaone fake friends adulthood sio poa

Bro to bro: Ukiona wana siku hizi hawakutafuti usiwaone fake friends adulthood sio poa

Kuwa na marafiki waliokuzidi umri sio mbaya, wewe mwenye umri mdogo utafaidi sana uzoefu wao

Hii itakusaidia kuanza kujengeka mapema hasa ikiwa wanakupa madini kuhusu maisha

Kwa kijana maisha yanahitaji sana uwe na mentors
Naam, sema walisha nipigia kelele nioe, nika ona wana nirushia stimu.

Cheo changu cha katibu mwenezi wa kataa ndoa nimuachie nani?
 
Sahihi kabisa mkuu, chain ya schoolmates, classmates vinakufa automatically yani.

Nimeona kwa groups zangu za secondary na chuo, groups ambazo ilikuwa ukimiss siku nzima hutaweza kusoma msgs, leo tunakaa mwezi unakutana na msg kumi, nilikuwa najiuliza nini sababu, ila utu uzima na majukumu acha kabisa.
 
Mwenyekigoda kwa hiyo hutaki kuachia cheo chako haya pekenyua cha mwisho ulale usingizi mzito
Nyeto nimeanza tangu nipo kiunoni kwa baba yangu naogelea, siwezi kuacha nyeto leo wala kesho labla nife mana hata uboo ukikatwa nitapiga nyeto Kwa hisia
 
Nawaonea huruma sana jamaa wenye marafiki wengi maana unakuwa huna privacy hata ile ya kupiga nyeto na lile jukwaa la warembo utasikia Mbona status inaonyesha ulikuwa huko siku nzima
 
Sahihi kabisa mkuu, chain ya schoolmates, classmates vinakufa automatically yani.

Nimeona kwa groups zangu za secondary na chuo, groups ambazo ilikuwa ukimiss siku nzima hutaweza kusoma msgs, leo tunakaa mwezi unakutana na msg kumi, nilikuwa najiuliza nini sababu, ila utu uzima na majukumu acha kabisa.
Umesema vyema nime-experience hiyo kitu. Miaka ya nyuma tulikuwa na group kubwa kweli mpaka idadi ya members kwenye group la WhatsApp ikawa haitoshi

Ikabidi admins wafungue group Telegram ili wote tuenee, group jipya likafunguliwa Telegram lilikuwa moto sana. Uliza sasa hivi

Members wote wako inactive kila mtu busy na mambo yake
 
Back
Top Bottom