Xi Jinping
JF-Expert Member
- Jun 14, 2023
- 9,548
- 28,817
- Thread starter
- #41
Utu uzima ni ishu nyingine kabisa kadiri umri unavyosogea ndivyo circle ya watu wako inabadilika.Ukubwa n noma nakumbuka nilikuwa kinara wa kutafuta watu kila mara hasa kipindi cha sikukuu, sijui ile tabia imeishia wapi.
Na watu unaoweza kusema ni wa karibu kwenye hiyo circle ni wachache sana ukitaka ujue ni kile kipindi unapitia matatizo yanayohitaji mtu/watu wa kukushika mkono
Bad news ni kwamba hao wachache ulio nao utu uzimani watazidi kupungua kadiri unavyoelekea uzee na wataisha watabaki watoto wako labda na mkeo
Haya ndio maisha