TANZIA Brother Peter Lyimo, aliyekuwa Mkuu wa Shule ya Sekondari Majengo-Moshi amefariki Dunia

Mr Kavishe.
Mzee Ally (Mlinzi)
Mr Nnko (Adv' Physics teacher)
 
Mimi namkumbuka kwa kunibania nafasi ya kusoma PGM pale majengo.

Nikaenda shule nyingine nikapiga Pure na kutoka one swaaafi nikaenda chuo!!

Kwa sasa ni injinia kamili katika nchi ya Tz!!


NB: Iliniuma kukosa nafasi majengo ila kama sio maumivu ya kunyimwa nafasi nisingeenda kusoma kwa moyo kwenye hiyo shule ingine!!

So nitaendelea kumkumbuka kwa hilo!!
 
Inalillah wainaillah Raji'un ....Tutakukumbuka Sana Wana MJSS
 
Pole Sana ila Mambo ya kuombea Marehemu kwa wakristo hakuna.
 
Nakukumbuka ulikuwa kila ukimwazibu mwanafunzi mtukutu unatuasa Kuwa na marafiki wenye mienendo mizuri, ulikuwa unasema ile kauli "show me your friend and I will tell you who you are"
Rest in peace Bro Peter Lyimo my Head master for six years [emoji120]
 
"Do the right thing at the right time,at the place and at the right moment".

"Kiss the ground"

Hiyo ilikuwa misemo alikuwa anaitumia nikiwa nasoma wakati huo.

Pumzika kwa amani Br. Peter Lyimo
 
Du hao wote washafariki?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…