Light saber
JF-Expert Member
- Nov 3, 2017
- 4,368
- 7,935
Hii ndio maana ya mwanaume mlikuwa nataka Mbowe aseme samahani ngoja uone tena Ijumaa.Hiii habari chungu sana kwa Bavicha
Haa haa. Naona wapumbavu kama wewe wala hujui kinachoendelea. Baki ukijidanganya tu na ujinga wako.Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Ndio maana Jamhuri walifunga ushahidi wao ghafla baada ya kile kikao cha jaji na mawakili wa pande mbili.The next thing ni hakimu wa kesi ya mbowe atamuachia huru Mbowe soon
This was well known before...
Sina tv mkuu, hapa ni Mimi na smartphone na smartphone na Mimi, nikiwa Sina bandit natembea na free basic mode ndani ya halotel tzTbc ipo kwaajili yenu kaa kwa kutulia.
Kiwanga cha uongoKitendo cha Mh. Mbowe kunyoosha mkono mahakamani tafsiri yake ilikuwa amekubali yaishe ni tofouti na watu wa nje walivyoitafasiri..
Mbona Pasaka anailia nyumbani kwake mwaka huu..
Kivipi?Hiii habari chungu sana kwa Bavicha
Sema chungu Kwa team good luck &coHiii habari chungu sana kwa Bavicha
Alimwakilisha Rais wa wakati huo. Dr. Magufuli.Mama na lissu zinaiva sana nmekumbuka alipomtembelea nairobi