Mbowe hakuomba kesi iishe, bali aiitaarifu Dunia kuwa Serikali ya Tanzania imewanyima chakula washitakiwa wa kesi bambikizi kwa muda miezi 5 mfululizo.Kitendo cha Mh. Mbowe kunyoosha mkono mahakamani tafsiri yake ilikuwa amekubali yaishe ni tofouti na watu wa nje walivyoitafasiri..
Mbona Pasaka anailia nyumbani kwake mwaka huu..
If is just photos what is your opinion on that🤔Good for them!
Even if it’s just a photo op…
Hii ni afya kwa nchi. Wote ni watanzania ni viongozi na wana wafuasi.naona Mama anajaribu kuishi kama JK....good progress..
Angalizo: afahamu tu hawezi kumridhisha kila mtu...
Safi sana Madam President SSH, safari yako kwenda Brussels isingenoga kama ungalikwepa kukutana na kichwa hiki chenye akili kubwa. Aliyekutangulia katika ofisi yako nyeti aliogopa mno kukabiliana naye na kubadilishana naye mawazo kama ambavyo umefanya wewe.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu.
Ni baada ya Lissu kuomba kuonana naye.
Walizungumzia mambo mbalimbali kuhusu usitawi wa Tanzania.
Pia, soma
1). Makamu wa Rais, Samia Suluhu amtembelea Tundu Lissu hospitalini Nairobi
2). Tundu Lissu afutiwa kesi zote za uchochezi
View attachment 2121277
View attachment 2121284View attachment 2121285
Wote wamoja, wametoka mbali, wana Bosi mmoja George Soros pure evil.
Masikini Mbowe aidha akubali kuachia Uwenyekiti kwa Makamu au aozee Jela, Samia na Tundu Lisu lao moja!
Great thinker in action .... a post worth to read... BravoUkurasa mpya taifa moja, hongera mama na Tundu Lissu.
Watajibaraguza tu hao makamanda uchwara kama kawaida yao.Saa ngapi tunaanzisha Space kimtukana Lissu katusaliti.
Ninadhani wewe ndio mburura haswa. Chadema na Lissu walitaka kupata a negotiated position, siyo msamaha wa Rais ambao hauna justification. Chadema atatoka hapa triumphantly. Judge ataamua kuwa akina Mbowe hawana kesi ya kujibu; Jamhuri ilipeleka mashitaka fake mahakamani. Ushindi kwa Chadema.Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini. Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Baba yako ndiye aliyembambikizia kesi?Samia rais wa watu,za chini chini ni kuwa lissu amempigia magoti na kumbembeleza Sana mama Samia amuhurumie Dj Mbowe na ikiwezekana amwachie huru,keep calm wafuasi wa Mbowe huenda wakatabasamu this week.
Mkuu hivi unajua kusoma?Hiii habari chungu sana kwa Bavicha
Ile lugha iliyotumika pale ni watu wachache waliielewa, huoni baada ya kunyoosha mkono kesho yake serikali iliona hakuna haja ya kuleta mashahidi wengine.Mbowe hakuomba kesi iishe, bali aiitaarifu Dunia kuwa Serikali ya Tanzania imewanyima chakula washitakiwa wa kesi bambikizi kwa muda miezi 5 mfululizo.
Hivi kwa akili yako hapo aliyeshinda ni nani? CHADEMA siku zote dhumuni lao ni kuongea na Rais na siyo msaidizi atakayepindisha baadhi ya maneno. Mkutano wa vyama vya siasa walisema wazi Samia aende kama mshiriki na siyo mgeni rasmi mkamzuia.Sasaa hivi Lissu ataitwa msaliti
Hatimaye Lissu kapiga magoti, huwezi shindana na raisi
Jaji hatatoa uamuzi, mwanasheria wa serikali ataondoa shauri kabla ya uamuzi, mmekula sana Hela zetu kwa kisingizio Cha kumchangia Mbowe, Maria Sarungi ana mabilioni kayaficha kwa kisingizio anakusanya Hela za Mbowe za kesiNinadhani wewe ndio mburura haswa. Chadema na Lissu walitaka kupata a negotiated position, siyo msamaha wa Rais ambao hauna justification. Chadema atatoka hapa triumphantly. Judge ataamua kuwa hakina hawana kesi ya kujibu; Jamhuri ilipeleka mashitaka fake mahakamani. Ushindi kwa Chadema. Wale wabunge viti maalum wataondolewa Bungeni na kisha Chadema ipeleke walioteuliwa na chama chao kwa mujubu wa sheria. Mwenyekiti wa NEC tayari amekwisha kuondolewa. Yote haya ni payoff ya msimamo wa Chadema; viongozi na wanachama wao. Siasa za heshima hazihitaji easy going na kujipendekeza kwa watawala kama alivyotaka Zitto Kabwe.
Umeelewa chinembe?