BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Yaani kitu kidogo tu tuanasahau madhira yanayotukumba kila mwaka nenda rudi. Tumeshakuwa kama maboya yasiyojitaambua kabisa.

Leo naona kila kona mayoweee kibao. Makelele kibao mkiulizwa je kuna tija gani kwa chama chetu na watanzania kwa ujumla hakuna jibu.

Mnatia aibu sana.
Raisi kamfuata lissu belgiji kudadeki
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia, amekutana na kufanya Mazungu na Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) Tindu Lissu...

Asichokielewa Lissu ni kwamba Chief Hangaya anataka kuendelea kuwa Rais baada ya term hii, kwa gharama yoyote ile. Kwahiyo, kufikiria kwamba Chief Hangaya somehow atatengeneza a level playing field kabla ya uchaguzi wa 2025 ni kujipa matumaini hewa!
 
Yaani kitu kidogo tu tuanasahau madhira yanayotukumba kila mwaka nenda rudi. Tumeshakuwa kama maboya yasiyojitaambua kabisa.

Leo naona kila kona mayoweee kibao. Makelele kibao mkiulizwa je kuna tija gani kwa chama chetu na watanzania kwa ujumla hakuna jibu.

Mnatia aibu sana.
Maumivu yakizidi muone dakrari
 
Haiwezekani kwa mtu anayejielewa kuendelea kuwa katili kwa mwenzio aliyefanya jambo ambalo umekuwa ukilipigia kelele miaka zaidi ya mitano iliyopita, ukifanya hivyo wastaarabu watakushangaa.
Una maana gani dogo?
 
Yaani kitu kidogo tu tuanasahau madhira yanayotukumba kila mwaka nenda rudi. Tumeshakuwa kama maboya yasiyojitaambua kabisa.

Leo naona kila kona mayoweee kibao. Makelele kibao mkiulizwa je kuna tija gani kwa chama chetu na watanzania kwa ujumla hakuna jibu.

Mnatia aibu sana.

Unaona aibu baada ya Mambo yako kufeli. Unataka Nini?. CHADEMA ndio chama pekee ambacho Rais binafsi amekutana na kiongozi wake face to face. Ulitaka tupindue nchi kwa Vita?. CHADEMA ndio chama Cha siasa kilichopitia madhira mengi kuliko chama chochote kile.
 
MMM na wahuni wenzake walimkejeri ZZK leo yameshindana huko mitandao kusifia as if SSH aliye ubelgiji sio yule alikuwa Dodoma

Tofautisha Rais wa kwenye kongamano na Rais wa kukutana face to face. Rais katumia nafasi ya ubelgiji kuonana na kiongozi mkuu wa CHADEMA, what's the problem. Naona watu wamekasirika kuona Lissu kaongea na Rais tena nje ya nchi, maana huku ndani walikuwa wamebana asionane na CHADEMA.
 
Lini mlishakuwa na hoja za maana zaidi ya ushabiki tu.

Ushabiki unao wewe. Nyie ndio mlitaka CHADEMA Ife, ghafla mmeanza Tena kuishutumu kisa Rais kuongea na kiongozi wa CHADEMA. Kama chadema haifai nenda vyama vingine hujalazimishwa. Wewe miaka yote Ni kuiponda CHADEMA. wakati Magufuri anaihujumu CHADEMA ulikuwa wa kwanza kushabikia na kuicheka. Leo kinachokuuma Nini wewe mnafiki?.
 
Lissu/chadema waliomba kukutana na mama Samia tangu mwaka jana kabla ya bwana yako Zitto hajaanza.

Muwe na record vichwani,wenye kustahili wapate sifa stahiki...hongera chadema!✌
Mmlizoea kuchangisha watu fedha kwa kisingizio Cha kesi ya Mbowe, Sasa jipange kuishi kwa jasho lako
 
Kitu nilichojifunza kwenye maisha shida ambazo zinaniumiza mimi maamuzi ya kujinasua yabaki yangu pia.

Hakuna ubaya wa Lissu kukutana na raisi, ila mtu kama huyu anishauri eti nisiombe suluhisho na serikali kisa raisi huyohuyo aonekane mmbaya kimataifa for his political mileage...
Nashangaa bado mnalazimisha Mbowe aonekane mkosaji bila kutuambia kosa lake ni lipi?

Kama Lissu kwenye mkutano wake na Samia amemwambia Mbowe aachiwe huru bila masharti yoyote hapa sioni tatizo lolote, hiki ndicho Chadema wanachokitaka, sio kutuma washenga wapeleke habari ya kuomba msamaha.

Nyie mnatengenezea watu matatizo kwa sababu za kisiasa halafu mnalazimisha wafanye mnavyotaka ili wawe huru, huu mtego Chadema waliugundua mapema sana.
 
Wapo Watanzania wenye asili ya Rwanda wamejipa vyeo na wahuni hawapendi ustawi wa Amani Nchini wao wanatamani wenzao wapigwe hata ikiwezekana wauawe kama yanavyofanyika huko kwao Mama anavyofanya wao hawapendi kabisa...
 
Asichokielewa Lissu ni kwamba Chief Hangaya anataka kuendelea kuwa Rais baada ya term hii, kwa gharama yoyote ile. Kwahiyo, kufikiria kwamba Chief Hangaya somehow atatengeneza a level playing field kabla ya uchaguzi wa 2025 ni kujipa matumaini hewa!
Yes CCM ni ile ile but sidhani kama SSH anatamani ushindi wa 90% kma mwenzake ama majimbo yote yaende CCM!! that's the difference.
 
Baada ya kuona kesi ya ugaidi inaenda kumchimbia kaburi la kiutawala kimataifa ndio akafunga safari kwenda kutafuta pakutokea kwa Tundu Lisu, hahahahaha na bado
 
Back
Top Bottom