Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Orodha ni ndefu acha mawasiliano tuHapa unajiona msomi wa sheria kumbe mjuaji wa KAWAIDA SANA. Tuoneshe point ya mens rea iliyothibidtishwa na seruskali toka kwa Mbowe. Msg kwamba Mbowe na URIO walichart kwako ndo mens rea inapostand? Au maelezo ya onyo yaliyokanushwa na washtakiwa ndo mens rea ulipoiona?
Ukiwa mjinga huwezi kuelewa utofauti wa TAL kukutana na Samia, na baadhi ya mambo ya kuongelea ikawa ni suala la kufuta kesi ya Mbowe, na unafiki wa Zito kumwombea msamaha Mbowe, mtu asiye na makosa.Yaani kitu kidogo tu tuanasahau madhira yanayotukumba kila mwaka nenda rudi. Tumeshakuwa kama maboya yasiyojitaambua kabisa.
Leo naona kila kona mayoweee kibao. Makelele kibao mkiulizwa je kuna tija gani kwa chama chetu na watanzania kwa ujumla hakuna jibu.
Mnatia aibu sana.
Sure kabisaHakuna asiyependa amani, hizo tabia za hovyo walifundishwa na jiwe pamoja na wafuasi wake kina Bashite. Binadam aliye na moyo wa nyama nahisi amefurahi jambo jema na lenye tija kwa Taifa.
KUSIFIA kilicho bora sio DHAMBI.
MBOWE sio GAIDIKuna Utaratibu upo ndani ya Chama Tawala kusifia chochote anachosema au kufanya Mwenyekiti wao.Toka Enzi za Baba wa Taifa, chini ya kauli mbiu ya "Zidumu Fikra za Mwenyekiti"
Ni jambo jema kusifia,lakini ni vizuri tuwe na msimamo! Leo Rais kakutana na Wapinzani unasifia,kesho amekataa kukutana nao unasifia pia! Tusiwe watu wa njia mbili,mpaka hatujulikani tunachokiamini na kukisimamia.
Tusifie kimantiki,sio kwa adhima ya kumfurahisha unayemsifia ili ujenge ukaribu na mazingira ya kupewa wadhifa!
Mungu ibariki Tanzania
Ni jambo jema kusifia,lakini ni vizuri tuwe na msimamo! Leo Rais kakutana na Wapinzani unasifia,kesho amekataa kukutana nao unasifia pia! Tusiwe watu wa njia mbili,mpaka hatujulikani tunachokiamini na kukisimamiaKuna Utaratibu upo ndani ya Chama Tawala kusifia chochote anachosema au kufanya Mwenyekiti wao.Toka Enzi za Baba wa Taifa, chini ya kauli mbiu ya "Zidumu Fikra za Mwenyekiti"
Ni jambo jema kusifia,lakini ni vizuri tuwe na msimamo! Leo Rais kakutana na Wapinzani unasifia,kesho amekataa kukutana nao unasifia pia! Tusiwe watu wa njia mbili,mpaka hatujulikani tunachokiamini na kukisimamia.
Tusifie kimantiki,sio kwa adhima ya kumfurahisha unayemsifia ili ujenge ukaribu na mazingira ya kupewa wadhifa!
Mungu ibariki Tanzania
The foolish alwas think foolisnessUkiwa mjinga huwezi kuelewa utofauti wa TAL kukutana na Samia, na baadhi ya mambo ya kuongelea ikawa ni suala la kufuta kesi ya Mbowe, na unafiki wa Zito kumwombea msamaha Mbowe, mtu asiye na makosa.
Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Mh. Samia na Mh. Tundu Lisu, waliongelea suala la katiba mpya, mikutano ya hadhara, passport yake iliyopotea, utengamano wa Taifa na kesi ya Mbowe.
Mwenye akili utaona utofauti mkubwa. Lakini ukiwa punguani, huwezi kuona.
KaombaView attachment 2121769
Huu mstari haukuwa na sababu ya kuingia kwenye taarifa umekaa kichonganishi
Na wewe Ni mavi, talk sense please. Watu wanajadili mambo ya msingi wewe inaleta nonsenseWote wamoja, wametoka mbali, wana Bosi mmoja George Soros pure evil.
Masikini Mbowe aidha akubali kuachia Uenyekiti kwa Makamu au aozee Jela, Samia na Tundu Lissu lao moja!
Sasa hapo umeandika nn mkuu?Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini.
Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Ndiyo maana huwa mnafail mitihani .....!!Huko ndiyo kuomba msamaha kwenyewe sasa. Njia yeyote ya Mbowe kutoka rumande bila hukumu au kutoroka (jailbreak) ndiyo inaitwa msamaha.
Alichoongea TUNDU LISSU na aluchoongea Zitto Kabwe ni sawa kasoro mpangilio wa maneno
Hii ndivyo ilivyo. Lakini kwa heshima ya Rais inakua vema ikae hivyo ilivyowekwa. Hili halihitaji PhD kujua.Samia ndio aliyeomba kukutana na Lissu.
Huyo jamaa anajaribu kulazimisha maoni anayoyapenda yeye. Hii kesi imewavuruga sana wa CCM vizabizabina, maana wapo wa CCM wanaojitambua kama johnthebaptist