BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

BRUSSELS, UBELGIJI: Rais Samia akutana na Tundu Lissu na kufanya mazungumzo mafupi

Hapa unajiona msomi wa sheria kumbe mjuaji wa KAWAIDA SANA. Tuoneshe point ya mens rea iliyothibidtishwa na seruskali toka kwa Mbowe. Msg kwamba Mbowe na URIO walichart kwako ndo mens rea inapostand? Au maelezo ya onyo yaliyokanushwa na washtakiwa ndo mens rea ulipoiona?
Orodha ni ndefu acha mawasiliano tu

Miamala
Kutafuta watu
Vitendea kazi
And so forth

Tatizo wapelelezi walikuwa na haraka tu ya kumtia hatiani, au mission ilikuwa abandoned wakaona wafungue kesi kwa ushahidi hafifu huo huo walionao.

But clearly the intention to commit a crime was there.

Good Morning
 
Yaani kitu kidogo tu tuanasahau madhira yanayotukumba kila mwaka nenda rudi. Tumeshakuwa kama maboya yasiyojitaambua kabisa.

Leo naona kila kona mayoweee kibao. Makelele kibao mkiulizwa je kuna tija gani kwa chama chetu na watanzania kwa ujumla hakuna jibu.

Mnatia aibu sana.
Ukiwa mjinga huwezi kuelewa utofauti wa TAL kukutana na Samia, na baadhi ya mambo ya kuongelea ikawa ni suala la kufuta kesi ya Mbowe, na unafiki wa Zito kumwombea msamaha Mbowe, mtu asiye na makosa.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Mh. Samia na Mh. Tundu Lisu, waliongelea suala la katiba mpya, mikutano ya hadhara, passport yake iliyopotea, utengamano wa Taifa na kesi ya Mbowe.

Mwenye akili utaona utofauti mkubwa. Lakini ukiwa punguani, huwezi kuona.
 
Hakuna asiyependa amani, hizo tabia za hovyo walifundishwa na jiwe pamoja na wafuasi wake kina Bashite. Binadam aliye na moyo wa nyama nahisi amefurahi jambo jema na lenye tija kwa Taifa.

KUSIFIA kilicho bora sio DHAMBI.
Sure kabisa

Tunapenda tusikilizane kama Taifa badala ya kujenga uadui na kuishi kwa masonona mioyoni.

Tz ni ya wote ila watu wanataka waifaidi wao peke yao kana kwamba wana hatimiliki ya hii nchi.

Ha ndio walionuna baada Mhe.Rais kukutana na Lissu.
 
Kuna Utaratibu upo ndani ya Chama Tawala kusifia chochote anachosema au kufanya Mwenyekiti wao.Toka Enzi za Baba wa Taifa, chini ya kauli mbiu ya "Zidumu Fikra za Mwenyekiti"

Ni jambo jema kusifia,lakini ni vizuri tuwe na msimamo! Leo Rais kakutana na Wapinzani unasifia,kesho amekataa kukutana nao unasifia pia! Tusiwe watu wa njia mbili,mpaka hatujulikani tunachokiamini na kukisimamia.

Tusifie kimantiki,sio kwa adhima ya kumfurahisha unayemsifia ili ujenge ukaribu na mazingira ya kupewa wadhifa!

Mungu ibariki Tanzania
MBOWE sio GAIDI
 
Ni jambo jema kusifia,lakini ni vizuri tuwe na msimamo! Leo Rais kakutana na Wapinzani unasifia,kesho amekataa kukutana nao unasifia pia! Tusiwe watu wa njia mbili,mpaka hatujulikani tunachokiamini na kukisimamia
giphy.gif
 
1645081528022.png

Huu mstari haukuwa na sababu ya kuingia kwenye taarifa umekaa kichonganishi
 
Yaani Yustino alimdanganya had mama kwamba Lissu alilipwa mafao yake [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Ana haki ya kujiuzulu aiseeew
 
Ukiwa mjinga huwezi kuelewa utofauti wa TAL kukutana na Samia, na baadhi ya mambo ya kuongelea ikawa ni suala la kufuta kesi ya Mbowe, na unafiki wa Zito kumwombea msamaha Mbowe, mtu asiye na makosa.

Kwa taarifa zilizopo ni kwamba Mh. Samia na Mh. Tundu Lisu, waliongelea suala la katiba mpya, mikutano ya hadhara, passport yake iliyopotea, utengamano wa Taifa na kesi ya Mbowe.

Mwenye akili utaona utofauti mkubwa. Lakini ukiwa punguani, huwezi kuona.
The foolish alwas think foolisness
 
1645081593543.png

1645081630629.png

1645081682408.png

Mwanzo walichukua tahadhari, baada ya mazungumzo wamesuspend tahadhari, kweli umoja wa kitaifa unapangwa na Mungu😂
 
Wote wamoja, wametoka mbali, wana Bosi mmoja George Soros pure evil.

Masikini Mbowe aidha akubali kuachia Uenyekiti kwa Makamu au aozee Jela, Samia na Tundu Lissu lao moja!
Na wewe Ni mavi, talk sense please. Watu wanajadili mambo ya msingi wewe inaleta nonsense
 
Wale waliokuwa wanagomea vikao na serikali hapa nchini wanachanganyikiwa, Lissu level nyingine, anajua maana ya Siasa, tofauti na mburura zilizo hapa nchini.

Zitto kabwe alisema mapema, Chadema wakambeza, Sasa Lissu anafata muelekeo wa ZZK, anaachana na Chadema wenye mawazo mgando, ya kizamani, wanaimba katiba tu kama kasuku, mwenzao anaozea jela, wao wanakusanya Hela wanagawana.

Kama nyie wanaume mshambulieni Lissu mitandaoni tuone
Sasa hapo umeandika nn mkuu?
 
Huko ndiyo kuomba msamaha kwenyewe sasa. Njia yeyote ya Mbowe kutoka rumande bila hukumu au kutoroka (jailbreak) ndiyo inaitwa msamaha.

Alichoongea TUNDU LISSU na aluchoongea Zitto Kabwe ni sawa kasoro mpangilio wa maneno
Ndiyo maana huwa mnafail mitihani .....!!
 
"Huu ni wakati wa kuzika tofauti zetu na kuwa wamoja kama taifa, ni wakati wa kufarijiana, kuonyesha upendo, udugu wetu, kudumisha amani yetu, kuenzi utu wetu, uzalendo wetu na utanzania wetu.

Huu si wakati wa kutazama mbele kwa mashaka bali ni wakati wa kutazama mbele kwa matumaini na kujiamini. Huu sio wakati wa kutazama yaliyopita lakini ni wakati wa kutazama yaliyo mbele.

Huu ni wakati wa kuzika tofauti zetu. Si wakati wa kunyosheana vidole bali ni wakati wa kushikana mikono. Ni wakati wa kufutana machozi ili tuweke nguvu zetu pamoja na tujenge Tanzania yetu, Tanzania mpya."

By Mhe. Samia Suluhu Hassan - Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania_19 Machi, 2021
 
Back
Top Bottom