Ungependa watu wajazwe juu ya watu gani?Sina ugomvi na mkesha wao, nina ugomvi na aina ya watu tunaozidi kuwajaza ujinga kuhus the so called Mitume na manabii. Huu ndio mtaji wa CCM na nina imani kuwa hapa kulikua na ajenda ya CCM nyuma yake
Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Hata sasa huelewi maana ya balaa Lethergo ?Amekuponesha nini Mwoposa?
Tupe na mrejesho wa Muujiza aliokufanyia Mtume Mwamposa.Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Ukiacha dhambi ukaishi maisha matakatifu unapata tu nguvuKakaa hatareer nimetokaaa saa 0620am nilichomwomba Mungu niwe na nguvu kama zake za kuombaa aisee mwamba ana stamina hatareee yaaan kipindi chapilii alivyorudi kama pakomeeeeee wayaa nkaanza onaa majiran zangu pemben smart wanagalagala nkajua kumekucha ngoja niweke na mie miguu sawa hataree
Nchi ina nyumbu hii aiseee...
Niambie balaa ni nini
elewa kwamba hapo hakuna Mungu ni sanaa, waulize watu wa Nigeria watakupa majibu haya mazingaonbwe kule Nigeria walisha yazoea kitambo sanaKUKAA KIMYA NALO JIBU
MUNGU NIFUNDISHE KUNYAMAZA
BY MARTHA MWAIPAJA
😀😀Junnemwamposa,ingumi jangu mbibhi fijo jikugoga abhanduKwakweli huyu jamaa ameshindikana sana ........Kwa Tanzania hii
@ Gummenyemwamposa[emoji23][emoji23][emoji23]
#hakuna mnyakyusa mshamba[emoji23][emoji23]
Hakuna atakacho pata, zile shuhuda nu Fabricated hakuna shuhuda ya ukweli pale.Anajua common issues so anapita mulemule na mtu mwenye shida serious uwa akili yake haifanyi kazi kabisa, kuna jamaa yangu yupo mkoani anaamini karogwa kisa alipata ajali mguu ukavunjika na mambo hayaendi solution yake eti jana kaja kwa mwamposa wakati nilimwambia badiri mbinu za utafutaji kaniona fala nasubiria atakachovuna katumia gharama kibao kuja kutapeliwa ila kwa kulia lia hana kitu na maisha magumu.
Huyo ni tapeli kama matapeli wengine.Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
YesNaam, anafanya ujasiriamali mzuri sana, maana wajinga ni wengi sana nchi hii.
Acha wivu Yesu anatenda hata sasa.Baraka zipi? zile stories za miujiza fake? kikubwa pale ni simulizi za miujiza fake