BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

BullDoza Mwamposa Ana Powers za Mvuto wa Ajabu, Aleta Balaa Kubwa Kawe na Maeneo ya Jirani, Mkesha Wake, Kawe, Mikocheni, Mbezi Beach, Wote Tumekesha!

Sina ugomvi na mkesha wao, nina ugomvi na aina ya watu tunaozidi kuwajaza ujinga kuhus the so called Mitume na manabii. Huu ndio mtaji wa CCM na nina imani kuwa hapa kulikua na ajenda ya CCM nyuma yake
Ungependa watu wajazwe juu ya watu gani?
 
Hao mliojazana hapo karibu asilimia 90 ni watu mliokata tamaa ya maisha pamoja na watu mafukara. Hiyo asilimia 10 iliyobaki ni watu wanaojificha kwenye kivuli cha huyo jamaa ila nyuma ya pazia ni mashetani waliobobea. Wewe upo kundi lipi?
 
Kakaa hatareer nimetokaaa saa 0620am nilichomwomba Mungu niwe na nguvu kama zake za kuombaa aisee mwamba ana stamina hatareee yaaan kipindi chapilii alivyorudi kama pakomeeeeee wayaa nkaanza onaa majiran zangu pemben smart wanagalagala nkajua kumekucha ngoja niweke na mie miguu sawa hataree
Ukiacha dhambi ukaishi maisha matakatifu unapata tu nguvu
 
Alafu faza wangu pascal mwanzoni nilipokua naona wadau wanakuponda nikawa najua wanakuonea wovu..

Ila kwa hili naona kabisa faza unazinguwa kumbe
 
Niambie balaa ni nini
Screenshot_20240706-122319.png
 
Anajua common issues so anapita mulemule na mtu mwenye shida serious uwa akili yake haifanyi kazi kabisa, kuna jamaa yangu yupo mkoani anaamini karogwa kisa alipata ajali mguu ukavunjika na mambo hayaendi solution yake eti jana kaja kwa mwamposa wakati nilimwambia badiri mbinu za utafutaji kaniona fala nasubiria atakachovuna katumia gharama kibao kuja kutapeliwa ila kwa kulia lia hana kitu na maisha magumu.
Hakuna atakacho pata, zile shuhuda nu Fabricated hakuna shuhuda ya ukweli pale.
 
Back
Top Bottom