BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 4,548
- 11,901
Hizo ni hadaaa tupu, hata wasio kuwa na imani waoagani wanashinda kesi, hizi ni hadaaaImani yake inamtuma kuwa mwamposa ndio kachangia kushinda kwa kesi yake😄
Maana hata yeye mwenyewe anakuambia "IMANI YAKO NDIO INAYO KUPONYA"
Rudia kumsoma utaelewa, usikaze fuvu litauma.Na wewe ni tapeli unamhamasisha tapeli mwenzio, hiyo nyomi inaonesha watanzania umaskini ni mkubwa sana na watu wanatafuta mafanikio kwenye kukanyaga mafuta au kutafuta mafanikio kwa mtu..na nyie socialites badala mkemee watu wafanye kazi kama wachina nchi mwao, mmekaa mmekalisha matako yenu mnahamasisha tu..shenzi kabisa.
mtapigwa sana huko, endeleeni kwenda kutafuta simulizi, Pale ukiwaambia waumini wafungue Bible wanaweza anza kutawanyika, hawataki kusikia kitu kinaitwa Bible wao wape hadithi za miujiza fakeAcha wivu Yesu anatenda hata sasa.
Tusubiri Kuona Kuhani Mussa akilipa hii ya Mwamposa😃Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Pascal Mayalla Mzee Mwenzangu wa yohana mtembezi, hata Mimi ilipofika SAA sita usiku, nikafunga safari kutoka nyumbani Bahari Beach, Amani Street hadi Kawe. Namshukuru Mungu, nilipokelewa vizuri nikapelekwa kukaa nyuma ya kiti cha mkuu wa mkoa, Chalamila mla mbwa mwenzanguWanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Hapo sasa ndipo uone aina ya waumini wanaotaka mambo yawaendee kwa 'njia za mkato' kama wakati ule wa 'kikombe cha babu'. Ukiona watu wanamiminika kwenye maombi ya namna hii, ujue wana shida mbalimbali ambazo wanaona utatuzi wake ni kwa njia ya miujiza. Na Yesu alikuwa akiwaambia wanaomsikiliza wasiwe watu wa kutegemea miujiza, lakini kizazi chetu kimekuwa cha kutegemea miujiza. Maana yake ni nini? Maana yake ni kwamba tumeweka mafundisho ya Yesu pembeni, na kufuata mafundisho ya akina Mwamposa, ambayo ndiyo yamekuwa mbadala wa mafundisho ya Yesu. Kwenye mikutano kama hii watu hawaendi kukutana na Yesu, bali kukutana na akina Mwamposa. Hapo ndipo ninapotofautiana na hawa watu wanaojiita mitume na manabii. Zamani walikuwa wakichaguliwa na Mungu, siku hizi wanajichagua wenyewe maana wanaona wakisubiri wachaguliwe huenda wanaweza wasiwe.Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali
Anafatiliwa sana na watu wenye akili kama zako. BishaBulldozer anafwatiliwa na watu wengi sana. Ndani ya nchi na nje ya nchi. Amekuwa moja ya watu wenye ushawishi mkubwa East Africa.
Hata mi nina watoto ila mke sinaWakati ana watoto usenia bachela umetokea Wapi?
Ngoja nisome mkuuKasome Biblia fungua Wagalatia 3 soma yote mpaka Mwisho bila kuweka kituo
Mimi nimeona miujiza ya Yesu live bila chenga maishani mwangu utaniambia nini,tunamwabudu aliye hai.Tunafurahi na kuwa na ujasiri kwakuwa tunapata haja za mioyo yetu tukiomba sawa na atakavyo yeye.mtapigwa sana huko, endeleeni kwenda kutafuta simulizi, Pale ukiwaambia waumini wafungue Bible wanaweza anza kutawanyika, hawataki kusikia kitu kinaitwa Bible wao wape hadithi za miujiza fake
Shekheee 🤣🤣🤣🤣Naunga mkono hoja Mimi jana nilikuwepo baada ya kuwa yuda kwa mda mrefu ila jana nimepata baraka za kutosha
Ndio. Unaswali lingine?Anafatiliwa sana na watu wenye akili kama zako. Bisha
😅🤣🤣🤣Nilikuwa nina kesi mahakamani nimeshinda Mkuu mwamposa sio tapeli
Kwa mantiki hio Watanzania wana matatizo mengi sana ambayo yamekosa utatuzi wa kiserikali na kukimbilia kwenye Imani, Nadhani pia viongozi wasishangae kujaza kwa Mwamposa bali watumie kusanyiko hilo kama evaluation ya kinachoendelea kwa ground.Hao mliojazana hapo karibu asilimia 90 ni watu mliokata tamaa ya maisha pamoja na watu mafukara. Hiyo asilimia 10 iliyobaki ni watu wanaojificha kwenye kivuli cha huyo jamaa ila nyuma ya pazia ni mashetani waliobobea. Wewe upo kundi lipi?
Ndugu yangu naogopa malumbano sana kwenye masuala ya imani, nilieleza tu mtazamo wangu, samahani kama umekwazika kwa namna yoyote ile. Samahani na nakutakia siku njema na sabath njemaUngependa watu wajazwe juu ya watu gani?
Sawa, sms sent.....Wanabodi,
Huyu Pasta Bulldoser, Mwamposa.. sio mchezo...
inaendelea...
Paskali