Huo ndo Uislam sasa, safi sana Iraq.Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.
View attachment 3147454
Kwamba mtoto wa miaka 9 atake kuolewa!? Niambie umelewa.Kama yeye anataka kuolewa kwa nini nimkataze?
Sindano imeingia ewe kondoo?Haya kasome kitabu cha mudy na wewe uwe unakunywa mikojo ya ngamia.
We jamaa punguza ufala bac mtoto wa miaka tisa bado hajakomaa, hajakomaa mwili, hajakomaa akili, hajakomaa kimawazo hadi awe mke wa mtu.Kwa mujibu wa sayansi, ni umri gani unaofaa kumuozesha binti yako?
Nyinyi makondoo mpaka demu anaolewa ujue huyo ameishashindikanaUnawaza kuingiliana na kulalana tu. Shubamiit.
PEDOPHILIA ilianzishwa na mood mwenyewe. sijui wanaona raha gani kuwalala watoto wadogo.Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.
View attachment 3147454
Sio kuhusu wewe kupata mwanamke ambaye hajatumika, ni kuhusu watoto kuwa salama.Nyinyi makondoo mpaka demu anaolewa ujue huyo ameishashindikana
Nyinyi makondoo mademu zenu wachafu kwa tabia na kwa kila kitu mpaka kinyaa! Jana kafiri mwenzenu amesema ukweli mkamkataaSio kuhusu wewe kupata mwanamke ambaye hajatumika, ni kuhusu watoto kuwa salama.
Uchoyo umekufumba macho. Unawaza upate, upate, upate mpaka huwezi tena kuwalinda watoto sababu ukiwatazama unaoma **** ambayo haijatumika.
unakuwa fisi, tamaa inakuwaka sababu unatanguliza kupata ambacho hakijatumika. Dini hizi, Shubamiiit..
Karibu ndugu yanguHii habari yenyewe imekaa kipropaganda.
Serikali ya Tanzania inaruhusu Watu kuuza na kunywa pombe lakini haimaanishi kila Mtanzania ni mlevi, ila Sheria ya kukuzuia usinywe haipo ni wewe na maamuzi yako.Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.
View attachment 3147454
Mbona wanajazwa mimba kesi kibaoo Tanzania hii au hamzionagi!?. Wasichana kuacha shule za msingi kisa ujauzito. Hao Huwa wanamiaka 18 !?.Karibu ndugu yangu
Ni kweli imekaa kipropaganda lakini sasa tujiulize ni halali kuoa mtoto mwenye umri huo?
Ivi kitoto cha miaka tisa si unakijua lakin
Mtoto wa darasa la nne anaweza kufanya maamuzi sahihi ya kuridhia kuolewa? Wewe mtoto wako wa miaka 9 akija kukuambia anataka kuolewa na li pedophile hata la miaka 30 utamkubalia??Serikali ya Tanzania inaruhusu Watu kuuza na kunywa pombe lakini haimaanishi kila Mtanzania ni mlevi, ila Sheria ya kukuzuia usinywe haipo ni wewe na maamuzi yako.
Iraq inachotaka kufanya ni kuondoka huo mbano , msichana awe huru akiona anataka kuolewa kuanzia umri huo ruksa, hii itaondosha uzinzi uliojaa kwakua watu wamebanwa sanaa na sheria kandamizi ya miaka 18. Naunga mkono muswada huo, Msichana akitaka kuolewa kuanzia umri huo na aolewe. Uzuri ndoa katika Uislamu haipiti bila ridhaa ya muolewaji, kwanini umsubirishe mtu na karidhia kuolewa kisa hajafika miaka 18 lakini mwili na afya yake vinamruhusu!?..
Leo hii Tanzania inawasichana wangapi ambao wamepewa mimba wakiwa shule ya msingi!?, Au wakiwa sekondari ambao ni umri kuanzia miaka 10, 11, 12 na kuendelea.
Watoto wa shule ya msingi kujazawa mimba na mabaradhuli/pedophiles ni jambo moja, kukubali waolewe kabisa kisheria huku watu wenye akili timamu mnashangilia mnakula maandazi, tende na ubwabwa ni jambo lingine kabisa.Mbona wanajazwa mimba kesi kibaoo Tanzania hii au hamzionagi!?. Wasichana kuacha shule za msingi kisa ujauzito. Hao Huwa wanamiaka 18 !?.
Juzi si Kuna Msichana wa form one kafungiwa ndani na jamaa, form one ana miaka 18!?.
Kwahy bint Yako wa darasa la nne akija amepewa mimba na mtu wa miaka 30 utaitoa kwakua hajafika miaka 18!?. Au hiyo mimba haitokaa kwakua hajafika miaka 18!?.Mtoto wa darasa la nne anaweza kufanya maamuzi sahihi ya kuridhia kuolewa? Wewe mtoto wako wa miaka 9 akija kukuambia anataka kuolewa na li pedophile hata la miaka 30 utamkubalia??
Sio kuhusu wewe, sio kuhusu mimi, sio kuhusu uislamu au ukristo. Ni kuhusu watoto wasioweza kujilinda dhidi ya tamaa za watu wazima.Nyinyi makondoo mademu zenu wachafu kwa tabia na kwa kila kitu mpaka kinyaa! Jana kafiri mwenzenu amesema ukweli mkamkataa
Jikite kwenye ndoa, hata mtoto wako akija kukuambia alibakawa na akapata mimba hatuwezi kuhalalisha ubakaji.Kwahy bint Yako wa darasa la nne akija amepewa mimba na mtu wa miaka 30 utaitoa kwakua hajafika miaka 18!?. Au hiyo mimba haitokaa kwakua hajafika miaka 18!?.
Unachozingumzia wewe hapo ni uhalifu kama vijana wengi wa mitaan kuwa wezi na wapiga KabaliMbona wanajazwa mimba kesi kibaoo Tanzania hii au hamzionagi!?. Wasichana kuacha shule za msingi kisa ujauzito. Hao Huwa wanamiaka 18 !?.
Juzi si Kuna Msichana wa form one kafungiwa ndani na jamaa, form one ana miaka 18!?.
Waislam wanatamaa sana ya ngono Kwa kisingizio Cha dini yote hiyo wamelenga kuharibu mabinti wa familia masikini maana hakuna baba mwenye uwezo kifedha akaruhu mwanaume wa umri wake amuingilie Binti yake wa miaka 9Vyombo vya habari vya kimataifa na wanaharakati wa haki za binadamu wameishutumu vikali Iraq kwa muswaada unaojadiliwa na bunge la nchi hiyo unaokusudia kushusha umri wa wanawake kuolewa kutoka miaka 18 hadi kufikia miaka 9, wanaharakati wa haki wanasema muswaada huu ni mbovu mno na huku ni kurudisha nyuma hatua kiasi zilizofikiwa za haki za wanawake katika taifa hilo.
View attachment 3147454