Bunge Live larudi. Kuoneshwa kuanzia Aprili 5, 2022 katika mkutano wa saba wa Bunge la Bajeti


Hayo maswali hayawezi kuulizwa, na haya yakiulizwa yatakuwa na majibu ya upotoshaji.
 
Maendeleo yana vyama,gunzi na beteri mlijichelewesha sana.
 
Kuna shida kwenye ubongo wawatanzania. Lisiporushwa live mnakosoa. Likirushwa live mnakosoa. Basi shaurini livunjwe
 
Kuna shida kwenye ubongo wawatanzania. Lisiporushwa live mnakosoa. Likirushwa live mnakosoa. Basi shaurini livunjwe
Wewe ndio mwenye matatizo makubwa ya ubongo na sio hao watanzania unaowakejeli.

Hivi ulijiuliza ni kwanini watanzania kipindi kile walikuwa wanataka bunge live?

Hivi umejiuliza ni kwanini watanzania wa leo hawahitaji bunge live?

Hivi umejiuliza ni sababu gani zilipelekea watawala kufuta bunge live kipindi kile na kuleta bunge live kipindi hiki?

Ukipata majibu sahihi ya hayo maswali, huenda utaelewa akili kubwa za watanzania unaowakejeli.
 
Watu waangalie watu ambao hawakuwachagua bali ni watu makuwadi wa vimemo na amri za marehemu dikteta.

Stupidity of the highest order!!
 
.Bunge la namna hii ni sawa kabisa na bunge la chama kimoja kwa sababu litakuwa linatekeleza ilani ya CCM na hakuna namna yoyote ile ya kulikemea itakayobadilisha " chochote"
Maadam wabunge ni wawakilishi wa wananchi, wananchi hawana chama, watapenda na tutafurahi kuona jinsi wawakilishi wetu wanavyo tuwakilisha bungeni.
P
 

Nakubaliana na wewe. Kurusha live kipindi cha wabunge cha kusifu na kuabudu watawala ni matumizi mabaya ya airtime!
 
Mkuu Mayalla, praise and worship itakayokuwa ikiendelea huko Bungeni itakuwa na faida gani kwa mpigakura?
Don't do preemptive thinking kuwa kwa vile ni Bunge la chama kimoja, then ni Bunge la praise and worship!. No!.

Kwenye the right to information, sisi wananchi wa Tanzania, tunapatiwa the right to information kuwasikia wawakilishi wetu wanavyo tuwakilisha bungeni.
This is very important right, a very important thing.
P
 
Dogo tafuta hela!

Hizi stress zitakuua

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
We naye ndiyo unakufa kabisa kiasi huna mvuto hata kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…