Simao Latino
JF-Expert Member
- Jan 11, 2025
- 477
- 608
- Thread starter
-
- #81
Wanafunzi wa Bunge primary schools wanatokea Goba, Tabata na Kigamboni. Ni nani anayekaa Posta zaidi ya ofisi za serikali na private sector??..Kwahiyo city centre ikitanuka mpaka kariakoo tuendelee kuhamisha shule mpaka zianzie shaurimoyo kwenda pembeni?
Hakuna mtu anaishi Posta na familia yake kisha akashindwa kumpeleka mwanae akasome katika private school..Kimanzichana itapendeza
Ni upande wa pili wa benki kuu, yaani wametenganishwa na ukuta tu.Na mita zisizozidi 30 kutoka benki mkuu na hazina, labda wameiacha kama chanzo cha Kodi.
Yaap..Ni upande wa pili wa benki kuu, yaani wametenganishwa na ukuta tu.
Umtoka zako uyole kuja kusoma chuo mjini tayari unajikuta mwenye mjiEti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.
Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?
Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.
Hata kama ni shule, basi mpeni muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za private za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)
SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
Ndio na ni English Medium ya serikali kama ilivyo Olympio.Mkuu, Kisutu kuna Primary School pale??
Ukipita pale sokoni na usikwazike kwa ile harufu inabidi uwe mtu uliyezoea uchafu.Nikuulize Soko la Samaki na shule unayoizungumza kipo karibu na Ikulu Au mjini na kipi kinachafua mji.
Ukinijibu we mtu.
Unazungumzaje kambi za jeshi zilizo mjini kabisa kama Mgulani, ile ya anga majumba sita/banana n.k? Yale sio maeneo potential ya uwekezaji?Kwa kifupi Shule kama Kisutu,
Olympic etc hazitakiwi kbs maeneo yale, yale ni maeneo potential kwa ajili ya investments. Naamini taasisi ambazo zinaweza wekeza hapo bado zinaweza jenga hayo mashule maeneo mengine tengefu yenye hali bora na mazingira ya kusomea kuliko maeneo hayo ambayo watoto ni kama hawapati haki zao za msingi za mazingira bora ya kujifunza!
Kwani Mgulani na Ukonga ni CBD (Central Business District) kama pale mita chache kutoka Ikulu??..Unazungumzaje kambi za jeshi zilizo mjini kabisa kama Mgulani, ile ya anga majumba sita/banana n.k? Yale sio maeneo potential ya uwekezaji?
Unategemea harufu ya perfume katika soko la Samaki?? You can't be serious my brother..Ukipita pale sokoni na usikwazike kwa ile harufu inabidi uwe mtu uliyezoea uchafu.
Mkuu, sasa Kisutu kwa mfano, anasoma mtoto wa kutokea wapi kwa maana wahindi wanaokaa maeneo hayo watoto wao wote wamewapeleka katika shule za kihindi??..Ndio na ni English Medium ya serikali kama ilivyo Olympio.
Hi elimu siyo investment?Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?
Kuna watu wanafanya kazi kwa hao wahindi wanaishi mitaa hiyo kama hujuiUnakaa Posta wewe mhindi?? Mwenye uwezo wa kukaa Posta hashindwi kupeleka mtoto private school
Kama huu ndo mtazamo wako basi una mawazo duni Mkuu.Ni nani anayeweza kumudu kukaa Posta na familia yake atakayeshindwa kupeleka mtoto private school??
Hata Olympio (Diamond) na Upanga Primary ni hivyo hivyo.Huku Mbagala Mbande kuna watoto wanatoka huku hadi Bunge Primary..
Kuna majumba kibao ya National Housing na wanakaa waswahili. Sasa sijui wapeleke watoto wapi.Kuna watu wanafanya kazi kwa hao wahindi wanaishi mitaa hiyo kama hujui
Inawesekana mleta mada ametumwa kwa personal interestsKuna majumba kibao ya National Housing na wanakaa waswahili. Sasa sijui wapeleke watoto wapi.
Umeona eeh,sasa atuambie tutoe shule Au Soko la SamakiUkipita pale sokoni na usikwazike kwa ile harufu inabidi uwe mtu uliyezoea uchafu.
Kwa hapo sijui kinachowafanya wapelekwe bunge ni nn ?Kwani huko Kigambonino hakuna shule mkuu??