Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Bunge Primary School, Uchafu mwingine city center unaofumbiwa macho na vigogo

Kwahiyo city centre ikitanuka mpaka kariakoo tuendelee kuhamisha shule mpaka zianzie shaurimoyo kwenda pembeni?
Wanafunzi wa Bunge primary schools wanatokea Goba, Tabata na Kigamboni. Ni nani anayekaa Posta zaidi ya ofisi za serikali na private sector??..
 
Watu wakuja Dar es Salaam utawajua tu kwa hoja zao, wao ndiyo waliona pavement za barabarani ni soko wakajiuliza kwanini hawajafungua gulio la kila siku ndio mwanzo wa machinga kufanya biashara barabarani na sasa wanataka shule zivunjwe wafungue biashara !
 
Eti wakuu, kwa Karne ya sasa kuna umuhimu gani wa kuendelea kuwa na Primary Schools kama Bunge pale kati kati kabisa ya Mji?? Lengo ni nini?? Tena shule ya serikali, shule zinazofahamika kwa kuwa na wanafunzi wachafu wasio na maadili hakuna mfano.

Eneo potential la kuweka investments za maana, wewe unaweka shule ya msingi? Hata kama ilijengwa zamani, Je, bado kuna uhalali wa kuendelea kuwepo pale?

Ni mtoto yupi anayesoma primary ya Bunge ni mkazi wa eneo lile lililojaa ofisi za serikali?

Uwepo wa shule kama Bunge huleta msuguano tu wa kimaslahi kwa maana ikifika December, kila mzazi anayefanya kazi Posta, mwenye IST anataka mwanae akasome Bunge. What for.

Hata kama ni shule, basi mpeni muwekezaji binafsi atakayeweza kumaintain mazingira pamoja na usafi wa wanafunzi kama zilivyo shule zingine za private za English Medium lakini sio kuweka shule uchafu katika eneo potential kama Posta Mpya (A few kilometers from the state house)

SHULE YA BUNGE CITY CENTER NI UCHAFU MWINGINE UNAOFUMBIWA MACHO NA VIGOGO..
Umtoka zako uyole kuja kusoma chuo mjini tayari unajikuta mwenye mji
 
Kwa kifupi Shule kama Kisutu,
Olympic etc hazitakiwi kbs maeneo yale, yale ni maeneo potential kwa ajili ya investments. Naamini taasisi ambazo zinaweza wekeza hapo bado zinaweza jenga hayo mashule maeneo mengine tengefu yenye hali bora na mazingira ya kusomea kuliko maeneo hayo ambayo watoto ni kama hawapati haki zao za msingi za mazingira bora ya kujifunza!
Unazungumzaje kambi za jeshi zilizo mjini kabisa kama Mgulani, ile ya anga majumba sita/banana n.k? Yale sio maeneo potential ya uwekezaji?
 
Unazungumzaje kambi za jeshi zilizo mjini kabisa kama Mgulani, ile ya anga majumba sita/banana n.k? Yale sio maeneo potential ya uwekezaji?
Kwani Mgulani na Ukonga ni CBD (Central Business District) kama pale mita chache kutoka Ikulu??..
 
Ukipita pale sokoni na usikwazike kwa ile harufu inabidi uwe mtu uliyezoea uchafu.
Unategemea harufu ya perfume katika soko la Samaki?? You can't be serious my brother..
 
Ndio na ni English Medium ya serikali kama ilivyo Olympio.
Mkuu, sasa Kisutu kwa mfano, anasoma mtoto wa kutokea wapi kwa maana wahindi wanaokaa maeneo hayo watoto wao wote wamewapeleka katika shule za kihindi??..
 
Back
Top Bottom