Bungeni Dodoma: Rais Magufuli avunja Bunge la 11. Asema ajira 6,032,299 zimetengenezwa, Viwanda vipya 8,477 vimeanzishwa

Uhamiaji Dodoma

Wametekeleza Uhamiaji Dodoma na Serikali yote imehamia Dodoma

Alizindua mji wa Serikali Mtumba

Amefanya yote kumuenzi Nyerere
 
anaomba apewe miaka 5 afanye mkubwa zaidi
 
Ajira

Ametengeneza ajira milion 6

Sekta Rasmi ajira 1mil
Isiyo rasmi ajira 5mil
Hizi takwimu huwa wanazipakaje??
Vibarua wa kung'olea mpunga?

Hasa sekta isiyo rasmi?? Hata vitambulisho vya wajasiliamali havijafika milioni..

Kwa hiyo mil6 jumlisha waliokuwa tayari kwenye ajira basi hii nchi haina tatizo kabisa la unemployment..

Everyday is Saturday......................... 😎
 
Aongelea Corona

Alishukuru Bunge kwa kupitisha Azimio la kumpongeza.

Anakohoa kohoa

Wabunge wapiga shangwe.....

Awataja waliokimbia bungeni asema hajui kama wamerejea, asema matatizo au changamoto hazikimbiwi. Ukizikimbia ni udhaifu, Uoga, Kutojiamini.

Njia ya kulishinda tatizo ni kukabiliana nalo.

Adai wamepunguza athari za kiuchumi
 
bado sijaona unalojaribu kutetea au kushambulia; unatetea the obvious halafu huonyeshi unachopinga. Kama unajua kuwa technology za Teleprompter hazikuwapo wakati wa Nyerere na hivyo akajijenga kuwa anaandaa kutoa hotuba zake bila kusoma ingawa wengine.

Walikuwa wanazipiga chapa kwenye typewrite na kuzisoma wakiwa jukwaani usipige kelele; chukua kuwa ndiyo iliyokuwa hali yenyewe. Kuna hotuba nyingi sana za Nyerere Youtube, tafuta alipokuwa na karatasi ya kusoma kwa vile hakukuwa na teleprompters wakati huo.
 
kukimbia changamoto ni mishara ya :-
udhaifu
uoga
kutojiamini

Mhe Rais akiwaambia wale waliokimbia Corona Bungeni.
 
Lazima Akohoe,ana mambo mengi kwenye hotuba yaliyofanyika na ndo anashuka kwa speed sana kuyasema huku ana balance hewa.
 
Shughuli zote zimeruhusiwa zirudi kuanzia 29 Mwezi June.

Aendelea wasihi Watanzania kuchukua tahadhari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…