Burna Boy: Sina nguvu za kiume ila nina pesa nyingi

Hili sio la kujivunia pesa haishindi nguvu za kiume.
Naona kama anajivunia pesa.

Kwa wanawake nguvu za kiume ni muhimu lkn kwa malaya pesa ni nguvu za kiume
 
Ahahahah
 
Duuuh, hilo la kutoweka ujauzito inaweza isiwe shida sana, maana wanaweza hata wakaasili mtoto, ila kutogonga mzigo vizuri, jamaa inabidi akomae na vitunguu saumu na matangawizi, kujitetea kwamba ana hela haitoshi.
Huyo jamaa ni mjanja sasa. Sasa hivi atawagonga sana mademu wenu kwakuwa ana hela na hakuna wa kudai amezaa nae. Mtabambikiwa nyie maskini mnaojisifia eti mwanaume mashine.
 
Sahii kabisa,
Ni sawa na utukanwe una kibamia baada ya kuachana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya makosa watu wengi maarufu wanafanya, unapopata status ni vizuri kupay attention kwa kila anayekuzunguka, measure your circle before they ruin your reputation.

So much depends on reputation, guard it with your life-Law 5
 
"Nasifiwa kwa mapenzi na mademu/
wanapagawa mpaka wananiita haaaaandsoomee"
Usijali sana hebu dadavua hapa....twosome (mapenzi ya wawili), threesome (mapenzi ya watatu)..sasa.. handsome...
 
Mleta mada unatuchanganya, ujue hapo umeongelea vitu vitatu tofauti!
1.hana nguvu za kiume
2.jogoo hawiki (hanithi)
3.hawezi kumpa ujauzito mwanamke

Sasa sijui tushike lipi hapo?
 
Ewe Mwenyezi Mungu, endelea kunizidishia haya kama sio hela lakini nguvu nizidishie [emoji120][emoji120]
 
Mleta mada unatuchanganya, ujue hapo umeongelea vitu vitatu tofauti!
1.hana nguvu za kiume
2.jogoo hawiki (hanithi)
3.hawezi kumpa ujauzito mwanamke

Sasa sijui tushike lipi hapo?
Hilo nda tatzo la kudate na Wadada wasiojielewa/ -ve attitude

Kuna watu wana electile dysfunction yan mjomba anasimama lakini si strong huyu mtu anatungidha mimba fresh kabisa ila swala la kuridhishana ndo utajibeba.

Kuna mtu asimamish kabisaaaa hata mara moja kwa mwaka huyu anaweza akawa na mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba lakini asipate nafasi ya kuzipandikiza kutunga mimba kutokana na udhaifu wake. Na huyu hawezi kabisa kushiriki tendo hata kuchafua tu.

Kuna mtu mbegu zake hazina uwezo wa kutungidha mimba kabisa hata kama ni kishoka kias gani anaweza kwenda round buku za maana lakini atungish mimba kamwe.

Kwa hivyo mleta uzi kwa ushirikiano na Dame wa Burna Boy watueleze Mwanetu ana tatizo gani haswa.
 
Huyo jamaa ni mjanja sasa. Sasa hivi atawagonga sana mademu wenu kwakuwa ana hela na hakuna wa kudai amezaa nae. Mtabambikiwa nyie maskini mnaojisifia eti mwanaume mashine.
Chief mbona kama umehamaki, kama na wewe una hiyo shida pia nenda kapate ushauri, hakuna sehemu niliyosema mimi mwanaume mashine, halafu suala la mimi kuwa maskini, duh! mimi sio tajiri wala sio maskini pia.
 
🤣🤣🤣🤣 mleta uzi kwa kushirikiana na demu wa Burna Boy, daaah! Nimecheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…