Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 bora tufanye threesome tu kilichobakCarrasco putin wee Nguvu hunaaaa pesa hunaaaa!! Tabu tupu!
Jinukuu mwenyeweulitaka nimnukuu Nani?
Mmxxcieeewww! Muke ya Bossi mieeee niheshimu na ushike adabu yakoo!!!😂😂😂😂 bora tufanye threesome tu kilichobak
AhahahahView attachment 2345023
Steflon Don; ni staa mkubwa wa muziki nchini Uingereza ambaye hivi karibuni amezua sintofahamu baada ya kudai kuwa ex wake ambaye ni staa muziki nchini Nigeria, Burna Boy hana uwezo wa kumridhisha mwanamke kimapenzi.
Kwa mujibu wa Steflon Don, hiyo ndiyo sababu iliyomfanya kuvunja uhusiano wake wa kimapenzi na staa huyo mkubwa barani Afrika.
Steflon Don alisema;
“Nilimwacha Burna Boy kwa sababu hakuweza kunipa ujauzito na kubwa zaidi hakuwahi kuniridhisha kitandani kwa sababu performance yake kitandani ni mbovu sana.”
Baada ya kauli hiyo ndipo Burna Boy akajibu yafuatayo;
“Ni kweli sina nguvu za kiume (jogoo hawiki) na siwezi kumpa ujauzito mwanamke, lakini nina pesa kwangu hii inatosha…”
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka mnooo, khaaaaahNi mpunga huyo mkuu!! Mwenye misimamo yake na anajikubali
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmxxcieeewww! Muke ya Bossi mieeee niheshimu na ushike adabu yakoo!!!
Sheendwaaaaa!!
Huyo jamaa ni mjanja sasa. Sasa hivi atawagonga sana mademu wenu kwakuwa ana hela na hakuna wa kudai amezaa nae. Mtabambikiwa nyie maskini mnaojisifia eti mwanaume mashine.Duuuh, hilo la kutoweka ujauzito inaweza isiwe shida sana, maana wanaweza hata wakaasili mtoto, ila kutogonga mzigo vizuri, jamaa inabidi akomae na vitunguu saumu na matangawizi, kujitetea kwamba ana hela haitoshi.
Sahii kabisa,Mleta mada wewe naye kilaza tu, kwa nini unaelezea stori upande mmoja tuu? hujaelezea kwamba Burna na Steflon waliachana kwa ugomvi.
Baada ya hapo Burna akamtungia wimbo Steflon unaoitwa "Last Last" ambao ni hit song haswaa.
Kwenye huo wimbo intro yake inasema;"E don cast
Last, last
Na everybody go chop breakfast (na everybody go chop breakfast)
Have to say bye-bye, oh
Bye-bye, oh
To the love of my life".
Sasa hako ka mstari ka "Na everbody go chop breakfast" unamaanisha kwamba "Steflon ni malaya anayegawagawa kirahisi ndiyo maana alimuacha".
Baada ya hapo ndo Steflon akaamua kumchafua jamaa kwa kumsingizia kwamba "Hajiwezi Kitandani" ambayo ni tuhuma ya kawaida kutoka kwa mademu pindi wanapoachwa.
Bana boy na yule mtoto rema Hawa wanatakiwa wapewe uangalizi maalum.angalia video za rema hata mademu hakamatii
Usijali sana hebu dadavua hapa....twosome (mapenzi ya wawili), threesome (mapenzi ya watatu)..sasa.. handsome..."Nasifiwa kwa mapenzi na mademu/
wanapagawa mpaka wananiita haaaaandsoomee"
Hilo nda tatzo la kudate na Wadada wasiojielewa/ -ve attitudeMleta mada unatuchanganya, ujue hapo umeongelea vitu vitatu tofauti!
1.hana nguvu za kiume
2.jogoo hawiki (hanithi)
3.hawezi kumpa ujauzito mwanamke
Sasa sijui tushike lipi hapo?
Chief mbona kama umehamaki, kama na wewe una hiyo shida pia nenda kapate ushauri, hakuna sehemu niliyosema mimi mwanaume mashine, halafu suala la mimi kuwa maskini, duh! mimi sio tajiri wala sio maskini pia.Huyo jamaa ni mjanja sasa. Sasa hivi atawagonga sana mademu wenu kwakuwa ana hela na hakuna wa kudai amezaa nae. Mtabambikiwa nyie maskini mnaojisifia eti mwanaume mashine.
🤣🤣🤣🤣 mleta uzi kwa kushirikiana na demu wa Burna Boy, daaah! Nimecheka sana.Hilo nda tatzo la kudate na Wadada wasiojielewa/ -ve attitude
Kuna watu wana electile dysfunction yan mjomba anasimama lakini si strong huyu mtu anatungidha mimba fresh kabisa ila swala la kuridhishana ndo utajibeba.
Kuna mtu asimamish kabisaaaa hata mara moja kwa mwaka huyu anaweza akawa na mbegu zenye uwezo wa kutungisha mimba lakini asipate nafasi ya kuzipandikiza kutunga mimba kutokana na udhaifu wake. Na huyu hawezi kabisa kushiriki tendo hata kuchafua tu.
Kuna mtu mbegu zake hazina uwezo wa kutungidha mimba kabisa hata kama ni kishoka kias gani anaweza kwenda round buku za maana lakini atungish mimba kamwe.
Kwa hivyo mleta uzi kwa ushirikiano na Dame wa Burna Boy watueleze Mwanetu ana tatizo gani haswa.