peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
====
Pia soma: TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa
Hii picha inajielezea.
====
Pia soma: TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa