TIMING
JF-Expert Member
- Apr 12, 2008
- 28,186
- 15,549
Can you prove kwamba hiyo picha imepigwa kwenye hilo bwawa?Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Kwahiyo Kwa kuona nyufa tumeliwa
Kuna any analysis ya why nyufa zipo?