Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa
Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.

Hii picha inajielezea.

View attachment 2743927

Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Hata kama itakuwa nimpango ovu kuuwa legacy ya Magufuli. Mungu atashuka nakuzishika hizo nyufa kwa miaka 200 pasipo kupasuka ili Dunia na wenye kufikiri mabaya wajuwe yupo Mungu. Mwalim Nyerere Dam itadumu na kudumu hata miaka 1000
 
Watasema ni expansion joints
 
Hata kama itakuwa nimpango ovu kuuwa legacy ya Magufuli. Mungu atashuka nakuzishika hizo nyufa kwa miaka 200 pasipo kupasuka ili Dunia na wenye kufikiri mabaya wajuwe yupo Mungu. Mwalim Nyerere Dam itadumu na kudumu hata miaka 1000
Ingekuwa chinai, baada ya taarifa hii, wahusika wangekimbia wenyewe kujimaliza kabla hawawekwa kati.

Yaani hata nusu ya robo ya mkopo hatujafikia yanatokea haya?
 
Msifanye utani na Kodi za watanganyika jamanii....

Pea nyingi Sana imefia hapo
 
Sijui anaongea nn huyu

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Are u trying to discredit me?
For your info, am already discredited.
You don't need to fight with me because I have already made my mind that am not contesting in 2025.
So, waambie waliokutuma kuwa, 'they can relax'!
 
Ingekuwa chinai, baada ya taarifa hii, wahusika wangekimbia wenyewe kujimaliza kabla hawawekwa kati.

Yaani hata nusu ya robo ya mkopo hatujafikia yanatokea haya?
In fact china wanapatia sana. Kuna jambo ukithibitisha mtu kalifanya, apigwe risasi hadharani mchana kweupe mbele ya kadamnasi. Inauzi sana
 
Yes, kutoka Misri, nimekumbuka. Of all expertise around the world mkamuona mwarabu.... kweli mwarabu?
Pan African shit inazidi value and quality, cha ajabu huyo mwarabu will never Africans kwenye project kubwa kama hii, ujinga ni mzigo
 
Hata kama itakuwa nimpango ovu kuuwa legacy ya Magufuli. Mungu atashuka nakuzishika hizo nyufa kwa miaka 200 pasipo kupasuka ili Dunia na wenye kufikiri mabaya wajuwe yupo Mungu. Mwalim Nyerere Dam itadumu na kudumu hata miaka 1000
Mawazo mfu kabisa hayo....

Legacy imewekwa tayari na hakuna mwenye akili awezaye kupinga mazuri...

Katika hili hapa ni jambo la kisayansi zaidi ya hisia zako hasi....

#SiempreJMT[emoji120]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom