Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa
Ila kwahiyo picha tu mtu unawezaje kujua kwamba ni bwawa la mwal Nyerere?
 
Ma shaa Allah.

Huo ndiyo Uislam mama, sisi ndiyo tunakuchaguwa wewe tu.
 
Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.

Hii picha inajielezea.

View attachment 2743927

Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Kama aliyekuwa CEO wa Klabu moja Kubwa East Africa alihongwa Mabilioni na Mimba Juu mlitegenea hilo Bwawa liwe Imara Kiujenzi?

Kama Dada yake ( Dada Mtu ) ana Hela za Ufisadi wa Kaka zinazomfanya kila Weekend aende Cape Town ( kwa Ndege ) Kuosha Nywele zake na Kula na Kurejea mlitegenea kabisa hilo Bwawa liwe Imara Kiujenzi?

Kama kuna Mtu ameshatenga pembeni ( Mafichoni Benki za nchini Cyprus ) kiasi cha Trillion 15 ili 2030 azitumie Kuingia Ikulu huku Swahiba wake ( Mtoto wa Mstaafu Mkubwa ) awe Waziri Mkuu wake mlitegenea kabisa hilo Bwawa liwe Imara Kiujenzi?

Kama GENTAMYCINE aliwahi kuambiwa na Mmoja wa Madereva wa huo Mradi wa JNHPP kuwa wanatamani uendelee Kuchelewa kumalizika ili waendelee Kula Pesa za Bure na za Kufuru mlitegenea kabisa hilo Bwawa liwe Imara Kiujenzi?

Mama yenu ameshapelekewa mno Dossiers za Mnafiki Mwandamizi aliyekuwepo hapo ( ambaye pia ni SSIT Agent kwa upande Mwingine baada ya Kuingizwa huko Awamu ya 2005 - 2015 ) kuwa hafai na anamharibia lakini akapuuza kwa Kumuogopa Baba yake mwenye Ukaribu na Mshauri wake Mkuu mlitegenea kabisa hilo Bwawa liwe Imara Kiujenzi?

Tusubirie tu Maafa makubwa JNHPP.
 
Bwawa lilianza kujenga lini!?
 
Acha kuharisha harisha,uwe unayatafakari kwanza mambo,mtu Kawa Waziri kipindi bwawa linawekewa mageti we unampa msala wa zege,zege ni enzi za jiwe na vijana wake
Naona unamtetea Mumeo kwa Nguvu zote. Hongera ila mwambie hili la Ukuta kuwa na Nyufa lazima tu limgharimu japokuwa ni mwana Lunyasi ( Simba SC ) Mwenzangu.
 
Umewekewa kipande Cha ukuta wa bar kinyerezi tayari umeamini,uwe unafikiri,acha kuwa komamanga
 
Back
Top Bottom