Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere, limeanza kutoa nyufa
Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.

Hii picha inajielezea.

View attachment 2743927

Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Ni expansion joints
 
Siamini katu kama hii picha ni ya ukuta wa zege wa Bwawa la Mwalimu Nyerere, maana bwawa hilo likijaa maji alafu bahati mbaya likaja pasuka ukuta maji yake downstream yataleta madhara makubwa sana.
 
Watu ukiwaambia wanadhani utani, na hapo bado , hilo bwawa wanapanga kulilipua kwa mabaruti kwenye kingo zake ,waseme limezidiwa , huu ni mwanzo wa usaliti mkubwa unaoendelea serikalini
Hawana huruma na deni tuliloingia hapo?
 
Watu ukiwaambia wanadhani utani, na hapo bado , hilo bwawa wanapanga kulilipua kwa mabaruti kwenye kingo zake ,waseme limezidiwa , huu ni mwanzo wa usaliti mkubwa unaoendelea serikalini
Wanamtumikia nani hawa jamaa?
 
Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.

Hii picha inajielezea.

View attachment 2743927

Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Tangu hawajaweka maji nilisha tahadharisha Juu ya kuvunjika kwa kuta za bwawa hilo. Nadhani tujiandae kisaikolojia by November 2023!
 
Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.

Hii picha inajielezea.

View attachment 2743927

Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Halijajazwa vipi bwawa wakati lina maji sasa hivi?
 
Back
Top Bottom