Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
Nyufa kwenye Maji? Watajua hawajui😆😆😆Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi. Hii picha inajielezea.