peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
January hajawahi kufanikisha jambo lolote zaidi ya kupiga tu
 
Hii picha pekee ndiyo inajitosheleza kabisa kuitumia, kwenye kutolea haya madai yako?
 
Hizi ni expansion joint 😂😂
N. B, KUTA ZA NAMNA HII HUWA NA ZEGE KALI NA NONDO ZILIZOFUNGWA KWA KARIBU KARIBU KWELI.
 
Hapo utaambiwa ni expansion joint kama zile za bweni la magufuli.
 
Sitashangaa zinahitajika robo tatu ya pesa zilizoshatumika ili kufanya ukarabati utakaochukua muda wa kutosha...; Na uzuri wa hili sehemu za kupeleka lawama ipo wazi (Yule ambaye alikuwa hafanyi Maintenance kipindi kile umeme haukatiki kama sasa) Sijui kwanini hakuwa kazi hawa wafanya maintenance na kukuta umeme kila kukicha...

Things are Falling Apart...
 
Huyu member anaitwa vikingX ...alisema hapa hujuma kuhusu bwabwa la Nyerere miezi kadhaa nyuma
Na amesema kabisa huko mbeleni litaanza kuwa linabomoka sehemu sehemu, na serikali na mkandarasi watatoa sababu kuwa asili/nature ya mwamba uliopo pale, hauhimili ukuta huo. Na ndio ndoto ya Umeme nafuu itakuwa imeingia gharama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…