Can you prove kwamba hiyo picha imepigwa kwenye hilo bwawa?Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Kwenye hili hata mimi sipo pamoja na hii timu pingapinga, hauwezi ukaleta kipandw za picha tu like that na tuka kuelewa never ever 😂🤣Hii picha pekee ndiyo inajitosheleza kabisa kuitumia, kwenye kutolea haya madai yako?
Watu ukiwaambia wanadhani utani, na hapo bado , hilo bwawa wanapanga kulilipua kwa mabaruti kwenye kingo zake ,waseme limezidiwa , huu ni mwanzo wa usaliti mkubwa unaoendelea serikalini
Hakuna anayefuatilia nyagali zaidi ya wafuasi wakeNi akina nani hao wanaofanya mipango ya uhujumu? Wataje Mkuu. Hii Nchi hovyo sana hao tunaowaita Wazee wa intelligence yamekaa kufatilia wapinzani tu, na akina nyangali mdude, mwambukusi na dr Silaa!! Mambo ya msingi yanayogusa maisha ya kila mtanzania yanapiga usingizi wa pono!! Ujinga kabisa huu. Hivi jeshi liko wapi wachukue hii Nchi!! Hata miaka 5. Inatia hasira sana!!! [emoji36][emoji36][emoji36]
....wakilipua watafaidika vipi ?Watu ukiwaambia wanadhani utani, na hapo bado , hilo bwawa wanapanga kulilipua kwa mabaruti kwenye kingo zake ,waseme limezidiwa , huu ni mwanzo wa usaliti mkubwa unaoendelea serikalini
Tuna shida kubwa sana ya negativity nchini mwetuTrillions 11 zimeenda hivyo
Acha kutetea upumbavu wewe ,nchi zilizoendelea unafungwa kabisa muhandisi na waziri wako. Umepewa trillions 11 ujenge project hata haijaisha imeanza kupasuka. Ilibidi ukuta uvunjwe na msimamizi utajenga Kwa hela Yako na sio Hela wa walipa Kodi.Tuna shida kubwa sana ya negativity nchini mwetu
Bahati nzuri ni wachache mko hivyo
With all the progress made…. Mmetafuta negative ili mpate amani ya mioyo yenu
Kweli shida yetu ni unyani
Una uhakika na crack unayoitaja?Acha kutetea upumbavu wewe ,nchi zilizoendelea unafungwa kabisa muhandisi na waziri wako. Umepewa trillions 11 ujenge project hata haijaisha imeanza kupasuka. Ilibidi ukuta uvunjwe na msimamizi utajenga Kwa hela Yako na sio Hela wa walipa Kodi.
Be serious Fisadi nyie
Likijazwa maji tope litaziba hizo nyufa, haina shida.Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
BWALA LA MWALIMU NYERERE?Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Lipo wapi Hilo BWALA?Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
Kuna ufa wing ya kulia ya Bwawa. Ufa umetokea kwenye construction joint kati ya blocks na zege. Sababu ni shrinkage
Very sad 😢Sitashangaa zinahitajika robo tatu ya pesa zilizoshatumika ili kufanya ukarabati utakaochukua muda wa kutosha...; Na uzuri wa hili sehemu za kupeleka lawama ipo wazi (Yule ambaye alikuwa hafanyi Maintenance kipindi kile umeme haukatiki kama sasa) Sijui kwanini hakuwa kazi hawa wafanya maintenance na kukuta umeme kila kukicha...
Things are Falling Apart...
Expansion joints...Magu sitokaa nimsahau mbwau leyu🤣Tanzania, TUMELIWA. Taarifa tulizozipokea ni kwamba, bwala la kufulia umeme la Mwl. Nyerere limeanza kutoa nyufa kabla ya kujazwa maji. Mara nyingi hii inatokana na watu kupiga hela, mkandarasi anabaki hana cha kufanya zaidi ya kulipua kazi.
Hii picha inajielezea.
View attachment 2743927
====
Pia soma: TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa