Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022
Kuanza kukusanya maji tarehe 22 ni ndoto..Niko site huku ndio ninachokijua
 
Wana babaika nini? Kwani tuliwauliza? Sisi bado tuko na huyu aliyenunua behewa moja kwa bilioni mbili na ushee.
Mara tarehe 15
Mara tarehe 22
Tunajua hata hiyo 22 itasogezwa mbele mpaka mwakani April.
Who doesn't know Tanesco/wizara ya Giza/Kipara et al?
 
Wana babaika nini? Kwani tuliwauliza? Sisi bado tuko na huyu aliyenunua behewa moja kwa bilioni mbili na ushee.
Mara tarehe 15
Mara tarehe 22
Tunajua hata hiyo 22 itasogezwa mbele mpaka mwakani April.
Who doesn't know Tanesco/wizara ya Giza/Kipara et al?
Kinaxhofanyika ni spinning Doctorates
 
Safi Sana ilani inatekelezwa kabla ya muda
Huyo dogo,hajatoa habari kamili, sijui nchi hii inakumbwa na nini?
Maji ndio source ya kufua umeme kwenye mradi huo .
Atuambie mchakato wa kujaza bwawa hilo utakamilika lini?
Je lini bwawa hilo litaweza kuanza kuzalisha umeme, na kwa kuanzia ni asili mia ngapi?
 
20211119_161616.jpg
Geti litakalofungwa(jaribu kuzoom na ulinganishe ukubwa wa lori na watu wanaoonekana kwa mbali)


Pamoja na ukweli kuwa sikuwa mshabiki sana wa JPM, lakini kwa bwawa la Nyerere alipiga bingo.

Kwamba Mama Samia atabonyeza kitufe kama ishara ya kuziba lile Diversion Tunnel ili kuanza kujaza bwawa maji ya kufua umeme, hiyo ni hatua kubwa sana.

Hongera TANESCO na TANROADS kwa kusimamia kazi hii muhimu kwa Taifa.

Geti lenyewe ndiyo hilo kwenye picha, na huo mto mxima wa zRufiji kwa sasa ulikuwa unapita humo.
Kuna waliibeza, waliosema hakuna cha geti wala nini.

Hilo geti tunaloliona karibia lote litakuwa chini ya maji bwawa likijaa.

Hongera nchi yangu Tanzania.
 
View attachment 2453099
Geti litakalofungwa.

Pamoja na ukweli kuwa sikuwa mshabiki sana wa JPM, lakini kwa bwawa la Nyerere alipiga bingo...
Na sikukuu hii sisi si wakukaa giza na wakati mkoa wetu ni moja ya mkoa mkubwa sana.

TANESCO hivi mbona miaka Ile ya chuma umeme ulikua wa uhakika. Semeni kweli au mnaogopa kufa.
 
Hii kitu inashabikiwa na wachache ambao ni chawa na walamba asali. Hivi sie wa kawaida unashangiliaje bwawa la umeme wakati upo katikati ya giza?

Tumeshatoka kwenye lengo la kujenga bwawa ambapo lengo ilikuwa kupunguza gharama ya umeme na sio kututoa gizani sababu tulishatoka enzi za giza.

Lakini hata hilo bwawa tumeambiwa kuna misimu inahitajika ya kulijaza ili lifanye kazi. Yawezekana misimu kukamilika ni 2027.

Ikumbukwe tuliambiwa litakamilika 2024. Hapo bado kuanza kutumika.
 
Hii kitu inashabikiwa na wachache ambao ni chawa na walamba asali. Hivi sie wa kawaida unashangiliaje bwawa la umeme wakati upo katikati ya giza...
Nyie kwa roho zenu mbaya mnaishia kuishi mbavu za mbwa.
Hata zikija fursa mtu unaona na kuhangaika na roho mbaya.

Mtia posti bugia chumvi uloweshe ulumi wako mwenyewe.
Una dalili zote za mtu masikini wa roho na kipato.
 
Nyie kwa rohi zenu mbaya mnaishia kuishi mbavu za mbwa.
Hata zikija fursa mtu unaona na kuhangaika na roho mbaya.

Mtia posti bugia chumvi uloweshe ulumi wako mwenyewe.
Una dalili zote za mtu masikini wa roho na kipato.
Mtu timamu wa akili hana tabia ya kusifia sifia katikati ya jamii inayozongwa na matatizo yaliyosababishwa na hao anaowasifia..mtu wa aina hii ni kumhurumia, hasa familia inayomtegemea.
 
Kuna trion 1.5 tunamdai mkandarasi kwa kuchelewesha mradi wetu, tutatega masikio tusikie iwapo viongozi wetu wanaumakini na pesa zetu
Hivi kweli unaamini hiyo. Zikiridishwa nitafute inbox nikupe bia. Hawa hawa waliosamehe Trillion 300 leo wanakosa kila kukicha halafu wanajisifu na wanatakatuwapongeze kwa kulipa sana hayo madeni.
 
Sifa za kijinga,nini kipya hapo,?bwawa lingekuwa limejazwa maji kitambo na kina Kalemani,mkawafanyia figisu za kifalafala tu
Watu mna machuki kmmmaeeee, dah!!!

Ndiyo maana mnalaanika na kuwa kama manungunungu huku muwachukiao yao yakitimizwa tu na Mungu bila miguvu wala hasira, mumeo kalemani huyo angeyajaza kwa mvua za kutengeneza kutoka kwa wale wataalamu wa Thailand aliowaleta Lowassa?!!!
 
Back
Top Bottom