masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Umeme unakuja kwa watu kufanya kazi.Tunachotaka ni umeme acheni mbambamba
Kama hivi sasa kazi inapigwa bwawa linajaa.
Si kwa vigelegele vya kulilia umeme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeme unakuja kwa watu kufanya kazi.Tunachotaka ni umeme acheni mbambamba
Hiyo wanaona sio hoja Trilioni 1.5 za watanzania wanataka zipotee bila maelezo yoyote. Makamba akatengeza Kongamano la Wahariri ili kutoa maelezo mbele ya Rais kwamba maji yamekauka hivyo tutasubiri miaka miwili bwawa lijae ndio lianze kuzalisha umeme.Kuna trion 1.5 tunamdai mkandarasi kwa kuchelewesha mradi wetu, tutatega masikio tusikie iwapo viongozi wetu wanaumakini na pesa zetu
P.I.H (Perish In Hell) DhalimR.I.P Magufuli
Muite aje ajaze majiSifa za kijinga,nini kipya hapo,?bwawa lingekuwa limejazwa maji kitambo na kina Kalemani,mkawafanyia figisu za kifalafala tu
Kijana wa 1990 andika tu kwa kiswahili, tutakuelewa.We don't like your praising attitude to the ones caused all these mess of power shortage n doing zero to address..tell them to direct their attention first to the problem facing now..
Mkuu unadhani ni muhimu sana kila mwananchi kujua Megawatts sijui Dam Serikali ina nafasi yake na Wananchi wana nafasi yao...Serikali inatakiwa ipongezwe kwa huo mradi ila sio kusema kila mtu lazima ajue....Kuna wengi wanajua TANESCO ipo kwa kuwasha tu swichi ya taa.
Ukiwauliza umeme umepatikana vipi na wapi huwa hawana idea yoyote, na wengi ndio hicho kizazi cha miaka ya 1990.
Mimi nimefika huko Stiglaz, na kazi iliyofanywa na serikali wengi hawaijui.
Kwa tunaoelewa tuipongeze tu serikali kwa hatua iliyofikiwa.
Bdala ya kuongea mambo technical, na yenye maana kwa Taifa, umeongelea kwa ufasaha matundu uliyofundishwa na kulelewa nayo.Unaumwa wewe mtoto n don't know what you r talking about..seek medical attention for your brain before it s too late.
Kujua ni kuelimika.Mkuu unadhani ni muhimu sana kila mwananchi kujua Megawatts sijui Dam Serikali ina nafasi yake na Wananchi wana nafasi yao...Serikali inatakiwa ipongezwe kwa huo mradi ila sio kusema kila mtu lazima ajue....
Mkuu mimi siwezi kujua kila kitu na kutokujua baadhi ya vitu sio ujinga mkuu Tanzania watu wamebaki wanajua vitu vingi harafu hakuna hata kimoja cha maana kinachofanyika kwa Umakini...hapa nikimuuliza mtoto wangu wa shule anasikia kelele za megawatts za Tanesco lakini umeme hakuna na ukiwepo tunatumia kwa vitu vichache maana upo ghari sana hapo Zambia umeme watu hawajui mambo ya megawatts wala unit ila wakitoa elfu tano yetu wanapata zaidi ya 100 units leo hii...Kujua ni kuelimika.
Na ukielimika ni faida kwa mtu binafsi na kwa Taifa.
Be informed.
Wajapan hawana malighafi na rasilmali nyingi, hawana mito ya kutengeneza miradi ya umeme.
Lakini they are one of the most informed societies in the world.
Jua kali kama letu wanageuza umeme.
Wana importuranium kutengeneza Nuclear Power Plants.
Sasa mkuu ukiupigia debe ujinga, lazima tukshangae.
Hata mimi naona hivyoNikiiangalia eneo la Kuzalisha Umeme pale Jinja nchini Uganda ulipo Mto Nile kisha nikiiangalia na mandhari ya JNHPP pale Mto Rufiji naona tofauti Kubwa kama ya Lionel Messi ( PSG FC ) France na Clement Mzize ( Yanga SC ) Tanzania?
Muonekano ni wa Kilokoloko mno tu.
nyuzi kama hii ndio chanzo cha kupigwa nyundo~umeona mchoro mzima wa mradi?umeshakamilika?Sio lazima uanzishe uzi Kwa bando lako la jero
Nyuma yake?Mtoa mada nipo nyuma y'ako