Bwawa la Mwalimu Nyerere kuanza kujazwa maji Desemba 22, 2022
Jana nilisikia kuwa ili bwawa ilo liweze kujaa kote na kuanza kuashwa mitambo inalazimu zinyeshe mvua kwa misimu miwili,Je mvua nazo zikigoma kunyesha muda nao wakukabiziwa mradi wetu unaongezeka,Huu umeme wa maji sio project endelevu kama tutegemeavyo sie watanzania,kwa ili hamtanielewa ila muda utasema tu uko mbeleni,nakumbuka Profesa Muongo aliwahi kutoa ushauri bungeni kuwa umeme wa maji sio mzuri tutafuteni vyanzo vingine kama gesi ama upepo..........
 
Leo umepiga U-Turn kumkubali Magu.

Na Bado, Wananchi hawatatulia Hadi Magu mwingine akalie kiti.

Halitasalia JIWE juu ya jiwe ambalo halitabomoshwa.

Aamen
 
Kwa kifupi ninyi ndio mizigo Taifa hili, hamna any added advantage!
Kama kinyesi, mko fit kupelekwa chooni tu.
Uache kuona mzigo wa ujinga uliobeba uone mzigo wa wengine kwa akili ipi kwa mfano..huo utapiamlo wa akili ndio umepofusha na kuziba matundu yote uliyonayo kukufanya usikie unapoambiwa ukweli..sio kosa lako lakini.
 
Jana nilisikia kuwa ili bwawa ilo liweze kujaa kote na kuanza kuashwa mitambo inalazimu zinyeshe mvua kwa misimu miwili,Je mvua nazo zikigoma kunyesha muda nao wakukabiziwa mradi wetu unaongezeka,Huu umeme wa maji sio project endelevu kama tutegemeavyo sie watanzania,kwa ili hamtanielewa ila muda utasema tu uko mbeleni,nakumbuka Profesa Muongo aliwahi kutoa ushauri bungeni kuwa umeme wa maji sio mzuri tutafuteni vyanzo vingine kama gesi ama upepo..........
Umeme w nchi hii umebebwa sana na production ya Hdropower kwa miradi aliyojenga Mwalimu Nyerere.
Kidatu HP-200MW
Nyumba ya Mungu HP 8MW
Kihansi HP-180MW
Hale HP -21MW
Mtera HP- 80MW

Na mitambo mingine midogo midogo ambayo kwa sasa ni karibia 50% ya umeme wote unaotengenezwa nchini.
Alhamdullilahi gesi imeingia na sasa inatumika kutengeneza zaidi ya 50% ya umeme wote nchini kwa Kinyerezi I na Kinyerezi II.

Lakini mpaka hapo Hydrpower imetubebe kw miak mingi.
Hatuna sababu ya kuidharau.
 
Umeme uzalishwe ndio mbwembwe ziendelee
 
Uache kuona mzigo wa ujinga uliobeba uone mzigo wa wengine kwa akili ipi kwa mfano..huo utapiamlo wa akili ndio umepofusha na kuziba matundu yote uliyonayo kukufanya usikie unapoambiwa ukweli..sio kosa lako lakini.
Watoto wa 1990 ninyi, mnachojua ni matundu tu maana ndo kipimo chenu cha mawazo.
Hatulaumu sana, maana mmekuzwa na wazazi wenu kwa kuchezewa matundu.
 
Kuna wengi wanajua TANESCO ipo kwa kuwasha tu swichi ya taa.
Ukiwauliza umeme umepatikana vipi na wapi huwa hawana idea yoyote, na wengi ndio hicho kizazi cha miaka ya 1990.

Mimi nimefika huko Stiglaz, na kazi iliyofanywa na serikali wengi hawaijui.
Kwa tunaoelewa tuipongeze tu serikali kwa hatua iliyofikiwa.
 
Umeme w nchi hii umebebwa sana na production ya Hdropower kwa miradi aliyojenga Mwalimu Nyerere.
Kidatu HP-200MW
Nyumba ya Mungu HP 8MW
Kihansi HP-180MW
Hale HP -21MW
Mtera HP- 80MW

Na mitambo mingine midogo midogo ambayo kwa sasa ni karibia 50% ya umeme wote unaotengenezwa nchini.
Alhamdullilahi gesi imeingia na sasa inatumika kutengeneza zaidi ya 50% ya umeme wote nchini kwa Kinyerezi I na Kinyerezi II.

Lakini mpaka hapo Hydrpower imetubebe kw miak mingi.
Hatuna sababu ya kuidharau.
Swali langu ni je tumeambiwa ili lijae maji ni misimu ya mvua inyeshe ndio liweze kujaa,sasa je mvua napo ikagoma kunyesha huo umeme utaotolea wapi,tutabaki tu kubeti kwa kutegemea mvua
 
Watoto wa 1990 ninyi, mnachojua ni matundu tu maana ndo kipimo chenu cha mawazo.
Hatulaumu sana, maana mmekuzwa na wazazi wenu kwa kuchezewa matundu.
Unaumwa wewe mtoto n don't know what you r talking about..seek medical attention for your brain before it s too late.
 
Kuna wengi wanajua TANESCO ipo kwa kuwasha tu swichi ya taa.
Ukiwauliza umeme umepatikana vipi na wapi huwa hawana idea yoyote, na wengi ndio hicho kizazi cha miaka ya 1990.

Mimi nimefika huko Stiglaz, na kazi iliyofanywa na serikali wengi hawaijui.
Kwa tunaoelewa tuipongeze tu serikali kwa hatua iliyofikiwa.
Akili yako ndogo ndio maana huelewi hata nani na nini kinastahili kupongezwa..
 
We si ndio yule wa akili ya matundu?
Huku kwenye watu wenye akili hakukufai.
Unaharibu hata mada, no positive contribution.
We don't like your praising attitude to the ones caused all these mess of power shortage n doing zero to address..tell them to direct their attention first to the problem facing now..
 
w
Geti litakalofungwa(jaribu kuzoom na ulinganishe ukubwa wa lori na watu wanaoonekana kwa mbali)

Pamoja na ukweli kuwa sikuwa mshabiki sana wa JPM, lakini kwa bwawa la Nyerere alipiga bingo.

Kwamba Mama Samia atabonyeza kitufe kama ishara ya kuziba lile Diversion Tunnel ili kuanza kujaza bwawa maji ya kufua umeme, hiyo ni hatua kubwa sana.

Hongera TANESCO na TANROADS kwa kusimamia kazi hii muhimu kwa Taifa.

Geti lenyewe ndiyo hilo kwenye picha, na huo mto mxima wa zRufiji kwa sasa ulikuwa unapita humo.
Kuna waliibeza, waliosema hakuna cha geti wala nini.

Hilo geti tunaloliona karibia lote litakuwa chini ya maji bwawa likijaa.

Hongera nchi yangu Tanzania.
Wewe jamaa akili yako haina maarifa ya akili
 
Back
Top Bottom