Picha za kulinganisha hizo mandhari ziko wapi? Na unapata wapi ujasiri wa kulinganisha mradi uliokamilka, na ule ambao bado ujenzi wake bado unaendelea!Nikiiangalia eneo la Kuzalisha Umeme pale Jinja nchini Uganda ulipo Mto Nile kisha nikiiangalia na mandhari ya JNHPP pale Mto Rufiji naona tofauti Kubwa kama ya Lionel Messi ( PSG FC ) France na Clement Mzize ( Yanga SC ) Tanzania?
Muonekano ni wa Kilokoloko mno tu.
Babu ulikuwa wapi mzee nimekumiss Sana mkuu had nilifungua Uzi kukuulizia kbsaNikiiangalia eneo la Kuzalisha Umeme pale Jinja nchini Uganda ulipo Mto Nile kisha nikiiangalia na mandhari ya JNHPP pale Mto Rufiji naona tofauti Kubwa kama ya Lionel Messi ( PSG FC ) France na Clement Mzize ( Yanga SC ) Tanzania?
Muonekano ni wa Kilokoloko mno tu.
Popoma hakuwa na kifurushi. Hua unampenda sana?GENTAMYCINE Hakika umerejeaa kila nikikutag ckupati mkuu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mtutsi mwenzako huyo?. By the way yuko wapi siku hizi matendo manono?Mtoa mada nipo nyuma y'ako
Umejitahidi kuandikwa na kutujuza! Ila umeandika KiChawa!Geti litakalofungwa(jaribu kuzoom na ulinganishe ukubwa wa lori na watu wanaoonekana kwa mbali)
Pamoja na ukweli kuwa sikuwa mshabiki sana wa JPM, lakini kwa bwawa la Nyerere alipiga bingo.
Kwamba Mama Samia atabonyeza kitufe kama ishara ya kuziba lile Diversion Tunnel ili kuanza kujaza bwawa maji ya kufua umeme, hiyo ni hatua kubwa sana.
Hongera TANESCO na TANROADS kwa kusimamia kazi hii muhimu kwa Taifa.
Geti lenyewe ndiyo hilo kwenye picha, na huo mto mxima wa zRufiji kwa sasa ulikuwa unapita humo.
Kuna waliibeza, waliosema hakuna cha geti wala nini.
Hilo geti tunaloliona karibia lote litakuwa chini ya maji bwawa likijaa.
Hongera nchi yangu Tanzania.
Nasikia bwawa linajaa kwa kasi kubwa.Geti litakalofungwa(jaribu kuzoom na ulinganishe ukubwa wa lori na watu wanaoonekana kwa mbali)