Ambiente Guru
JF-Expert Member
- May 21, 2012
- 2,623
- 1,097
Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani huku akimwambia kama atamkaribisha atapenda kuhudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bwawa hilo kuonyesha mahusiano ya karibu ya kiuchumi kati ya nchi yake na Tanzania.
Rais Abdel-Fattah al-Sisi aliwahi kutembelea Tanzania mwaka 2017. Kabla ya Al Sisi, Rais wa mwisho kutoka Misri kuitembelea Tanzania ilikuwa mwaka 1968.
Kampuni ya Al Moqaweloon Al Arab iliyoshinda tenda inasifiwa kwa kazi mbali mbali za ujenzi ambazo inazifanya hasa katika nchi nyingi za Mashariki ya Kati na barani Afrika.
Hii ni kampuni ambayo imejenga bwawa linaloitwa Aswan high dam mwaka 1970 ambalo liko nchini Misri. Bwawa hili liligharimu zaidi ya US $1 bilioni.
Inakadiriwa bwawa la Stiegler's Gorge likimalizika kujengwa litatoa umeme wa zaidi ya 2,100 MW. Kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 1,540 MW nchi nzima.
Hakuna mfadhili wowote aliyeonyesha nia ya kutoa mkopo kwenye uo mradi na nchi za magharibi ndiyo kabisa hawawezi maana walitaka kuuzuia ila Rais kaukomalia na Mh alishasema tutfanya hata kwa fedha zetu za ndani! Ujenzi wa uo mradi ghalama zake sawa tu na Kipande cha Reli ya SGR toka Dar mpaka Morogoro ambacho tumeghalamia kwa fedha zetu za ndani.Swali la msingi hapo ni mkopo umepatikana?
Kampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani huku akimwambia kama atamkaribisha atapenda kuhudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bwawa hilo kuonyesha mahusiano ya karibu ya kiuchumi kati ya nchi yake na Tanzania.
Rais Abdel-Fattah al-Sisi aliwahi kutembelea Tanzania mwaka 2017. Kabla ya Al Sisi, Rais wa mwisho kutoka Misri kuitembelea Tanzania ilikuwa mwaka 1968.
Kampuni ya Al Moqaweloon Al Arab iliyoshinda tenda inasifiwa kwa kazi mbali mbali za ujenzi ambazo inazifanya hasa katika nchi nyingi za Mashariki ya Kati na barani Afrika.
Hii ni kampuni ambayo imejenga bwawa linaloitwa Aswan high dam mwaka 1970 ambalo liko nchini Misri. Bwawa hili liligharimu zaidi ya US $1 bilioni.
Inakadiriwa bwawa la Stiegler's Gorge likimalizika kujengwa litatoa umeme wa zaidi ya 2,100 MW. Kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 1,540 MW nchi nzima.
Wafananishwe na nyau hawaKwani kipi kilianza, MO kutekwa au mchakato wa ujenzi wa bwawa?
Mnakejeli kila jambo linalofanywa na serikali ya JPM. Sijui mfananishwe na nini?
Kwa tukio hili inaonyesha siku hizi nchi haina watu wanaofikiri na kuona mbele..hivi mtu ambaye anakulalamikia juu ya kuamua kuongeza matumizi ya maji ya ziwa viktoria anaweza tena kuwa mjenzi wako wa bwawa la umeme na ukamwamini atajenga vzr??? sidhani!Big up
Kwa kweli Egyptians wanastahili kupata hiyo tender
Wako mbali sana wenzetu na taifa la zamani na uzuri ni wenzetu.
Tujifunze mengi kutoka kwao na kama Al Sisi atakuja wafungue tu biashara na Misri
Nimepitia website ya PPRA sijaona report yoyote ya mchakato wa manunuzi, hebu tusaidie maswali yafuatayoKampuni ya nchini Misri inayomilikiwa na serikali, Arab Contractors imeshinda tenda ya kubuni/kusanifu na kujenga bwawa la Stiegler's Gorge katika maporomoko ya mto Rufiji.
Baada ya Kampuni hiyo kushinda tenda, Rais wa Misri, Abdel-Fattah al-Sisi amempigia simu Rais Magufuli na kutoa shukrani huku akimwambia kama atamkaribisha atapenda kuhudhuria katika sherehe ya uwekaji wa jiwe la Msingi la ujenzi wa bwawa hilo kuonyesha mahusiano ya karibu ya kiuchumi kati ya nchi yake na Tanzania.
Rais Abdel-Fattah al-Sisi aliwahi kutembelea Tanzania mwaka 2017. Kabla ya Al Sisi, Rais wa mwisho kutoka Misri kuitembelea Tanzania ilikuwa mwaka 1968.
Kampuni ya Al Moqaweloon Al Arab iliyoshinda tenda inasifiwa kwa kazi mbali mbali za ujenzi ambazo inazifanya hasa katika nchi nyingi za Mashariki ya Kati na barani Afrika.
Hii ni kampuni ambayo imejenga bwawa linaloitwa Aswan high dam mwaka 1970 ambalo liko nchini Misri. Bwawa hili liligharimu zaidi ya US $1 bilioni.
Inakadiriwa bwawa la Stiegler's Gorge likimalizika kujengwa litatoa umeme wa zaidi ya 2,100 MW. Kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 1,540 MW nchi nzima.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ule mkopo wa ujenzi wa hilo bwawa umepatikana au umeandika kuwakoga wasiojitambua na kuua hii aibu ya sinema ya MO?
Nimepitia website ya PPRA sijaona report yoyote ya mchakato wa manunuzi, hebu tusaidie maswali yafuatayo
1. Tender ilitangazwa link na wapi??
2. Tender ni ya aina gani/ local/ interational/
3. Consultant ni nani?? design and build??
4. Bidders wengine nikina nani?
6. Criteria za kumpata lowest evaluated bidder in zipi??
tindo bana!,akili yako hili lisiwezekane sio,siasa gani hizi?,wewe ni mtizedi kweli?,mmh!Ule mkopo wa ujenzi wa hilo bwawa umepatikana au umeandika kuwakoga wasiojitambua na kuua hii aibu ya sinema ya MO?
Habari mkuu, sipo katika mjadala lakini naomba nikukumbushe kuna kitu kinaitwa "selective tendering" yaan client anaandaa bajeti then anakupa contractor kujengaNimepitia website ya PPRA sijaona report yoyote ya mchakato wa manunuzi, hebu tusaidie maswali yafuatayo
1. Tender ilitangazwa link na wapi??
2. Tender ni ya aina gani/ local/ interational/
3. Consultant ni nani?? design and build??
4. Bidders wengine nikina nani?
6. Criteria za kumpata lowest evaluated bidder in zipi??
Selective tendeering labda project yakupeleka shuttle kwenye space, kujenga dam ni simple engineering hata Skol au Delmonte akiwezeshwa anajengaHabari mkuu, sipo katika mjadala lakini naomba nikukumbushe kuna kitu kinaitwa "selective tendering" yaan client anaandaa bajeti then anakupa contractor kujenga
Hawa ni wakandarasi, wanaangalia maslahi yao tuKwa tukio hili inaonyesha siku hizi nchi haina watu wanaofikiri na kuona mbele..hivi mtu ambaye anakulalamikia juu ya kuamua kuongeza matumizi ya maji ya ziwa viktoria anaweza tena kuwa mjenzi wako wa bwawa la umeme na ukamwamini atajenga vzr??? sidhani!
Hakuna mfadhili wowote aliyeonyesha nia ya kutoa mkopo kwenye uo mradi na nchi za magharibi ndiyo kabisa hawawezi maana walitaka kuuzuia ila Rais kaukomalia na Mh alishasema tutfanya hata kwa fedha zetu za ndani! Ujenzi wa uo mradi ghalama zake sawa tu na Kipande cha Reli ya SGR toka Dar mpaka Morogoro ambacho tumeghalamia kwa fedha zetu za ndani.
Mkuu mi nimejibu swali lako tuu, sipo kwenye mjadala[emoji28]Selective tendeering labda project yakupeleka shuttle kwenye space, kujenga dam ni simple engineering hata Skol au Delmonte akiwezeshwa anajenga
tindo bana!,akili yako hili lisiwezekane sio,siasa gani hizi?,wewe ni mtizedi kweli?,mmh!