Bwawa la Stiegler's Gorge kuanza kujengwa na kampuni ya Misri

Hawa ni wakandarasi, wanaangalia maslahi yao tu
Na suala la mto Nile ni suala la kitaifa na yalienda vizuri
Unafikiri kwanza kabla ya kuandika au unandika kwanza halafu ndio unafikiri..ni lini mazozano ya matumizi ya mto nile yalikwenda vzr??? kampuni ni ya serikali halafu unasema wao wanaangalia mslahi tu..hizo pesa watalipwa kujenga dam zina thamani sana kuliko maji ya nile yakipungua kwao???
 
Wanasema uwezo wa bwawa kuzalisha megawatts fulani huku gharama halisi za ujenzi zikifichwa kila siku.
 
Unanielewesha au
Twende taratibu
Kila jambo huwa linatatuliwa bila jazba
Hilo shirika kama ni la kuserikali ndio unasema wewe
Mijadala huwa haiendi hivi kwa majibu yako bali kwa utaratibu

Anyway thanks for your explanations
 
Mkuu maneno yako mengi busara hakuna,unaingizaje issue ya Mo kwenye mradi wa stigla ?,nilitegemea uuchambue mradi tu,issue ya Mo imepita,kujadili ni waste of time men,wake up!
 
Mkuu maneno yako mengi busara hakuna,unaingizaje issue ya Mo kwenye mradi wa stigla ?,nilitegemea uuchambue mradi tu,issue ya Mo imepita,kujadili ni waste of time men,wake up!


Mkuu huyo niliyemjibu namfahamu na nimemuliza hivyo makusudi, hilo la kumtaja Mo ilikuwa kumpandisha mori ili ajichanganye. Kwa bahati mbaya ww umenunua ugomvi, hivyo kula jeuri yako. Hao wanaotekeleza huo mradi wangekuwa serious tusingeona huu upuuzi wa movie ya MO.
 
Mmmh?,sawa
 
Sasa hivi jitihada zote ni kutafuta ajenda mbadala. Kufifisha aibu ya ajabu sana ambayo haijapata kutokea ndani ya Taifa hili.

Inawezekana pengine sisi wengine hatufahamu vizuri suala la kutekwa kwa 'Mo'...Hivi ni aibu gani hii inayozungumziwa na ambayo mnasema "ni aibu ya ajabu sana ambayo haijapata kutokea ndani ya taifa hili"...kuna nini hasa kuhusu kutekwa kwa 'Mo' zaidi ya kile tunachoelezwa na kusikia kuwa 'Mo' alitekwa na sasa amepatikana???
 
Mnasema mtakavyo mpaka mnatukana watu vya nguoni hiyo haitoshi kuwa demokrasia au mnataka kuachiwa mlale morogoro road kuanzia fire mpaka chalinze aah hiyo haiwezekani!
Huwa sielewi wanataka uhuru gani.Yaani hata huu wa kutukana hawaoni kama ni UHURU
 
TANZANIA SASA KUNA NEEMA TELE ATAKAE AJE TU
 
Safi Sana Rais Magufuli ni Rais mjanja.dhamira ya ndoto ya baba wa taifa nyerere itakwenda kutimia
 
Kwani kipi kilianza, MO kutekwa au mchakato wa ujenzi wa bwawa?
Mnakejeli kila jambo linalofanywa na serikali ya JPM. Sijui mfananishwe na nini?
Wafananishwe na yenyewe inayopokea kila 'size'!
 
Wasisahau kujenga na msikiti kwa pembeni yake kama ilivyo kawaida.
 
Kwenye form of tender (experience of the company)kuna kipengele kinataka, experience of similar nature under taken for the last five years)

hao waarab Mara ya mwisho kejenga dam ni mwaka 1970 baada ya miaka 48, kuna makampuni yanamejenga project kama hiyo mwaka huu.
Mbona kama vile kuna harufu ya rushwa tunaanza kuchimba tutawakamata tu.
 
Kwani wananchi kutekwa sio aibu? Unataka ninindio uone aibu. Mtu aje nyumbani kwako kumteka mkeo?
 
Correction
Aswan High Dam ilijengwa na kampuni ya Kirusi.
 
Swala lako limekosa msingi kwa kumtaja Mo

Hapa ndio napata raha ya demokrasia. Mnayumba huku mnajaribu kutoa kabali na sisi t unazidi kubana humo humo, mkijifichia kwenye uzalendo tunaweka mizengwe yenu hadharani. Nikikumbuka miaka miwili ya mwanzo ya awamu hii tulikuwa hatunywi maji. Saa hii ndio mmekuwa hivi mlivyo.
 
Kumbe kuna mashindano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…