Serikali inayoongozwa na jpm itakuwepo hadi 2025 na huu ndio ukweli mchungu. Kushindana na mtu ambaye kwa vyovyote vile humuwezi nafikiri ni kupoteza muda.Kukata pumzi ni pale mtakapoweza kuitoa serikali madarakani iwe kwa kura au kwa kupindua nje ya hapa tunaita kelele za chura.....Nyie ndio mliweka mashindano, saa hii naona mmekata pumzi. Ni kuteka tu.
Fanya kazi uleMaendeleo bila demokrasia ni sawa na kusema Tanzania tuna mbuzi milioni 50 wakati wanaokula nyama ya mbuzi hawazidi hata milioni 5, this is nonsense
Nyerere aliishi dunia iliyopita, ambayo ilikuwa na mahitaji ya kipindi hicho,mfano kuhamia Dodoma ni matumizi mabaya ya kodi zetu.Dodoma ilikuwa ni kwa mahitaji ya kipindi kile cha vita vya ukombozi hivo ilionekana dar si Salama kuna hatari ya kushambuliwa toka kwa makaburu na wareno,hivo Dodoma ni Salama. Tunaishi kwenye old world in the new WorldYaani badilisheni hela zote zilizoko hazina kuwa mataruma ya reli,mabwawa, madaraja halafu muite ni maendeleo.
Chimbueni mafaili yote ya Nyerere ili mtimize ndoto zake Ila mjue mtaani hata mlo mmoja unataka kushindikana.
Inakadiriwa bwawa la Stiegler's Gorge likimalizika kujengwa litatoa umeme wa zaidi ya 2,100 MW. Kwa sasa Tanzania ina uwezo wa kuzalisha umeme wa 1,540 MW nchi nzima.
Serikali inayoongozwa na jpm itakuwepo hadi 2025 na huu ndio ukweli mchungu. Kushindana na mtu ambaye kwa vyovyote vile humuwezi nafikiri ni kupoteza muda.Kukata pumzi ni pale mtakapoweza kuitoa serikali madarakani iwe kwa kura au kwa kupindua nje ya hapa tunaita kelele za chura.....
Hizi kelele zingekuwa zimeanza leo angalau utawala ungeogopa. Sasa sio leo na wengi wapiga kelele ni keyboard warriors2025 ni karibu sana, kaeni mpaka karne ijayo lakini mkubali kila siku kula dozi mara 3. Kama hivi mnavyotokwa na mishipa ya shingo ni mpaka hapo mtakapoamua kuachia madaraka wenyewe maana kwenye kura hamshindi.
Hizi kelele zingekuwa zimeanza leo angalau utawala ungeogopa. Sasa sio leo na wengi wapiga kelele ni keyboard warriors
Kuna kitu mnafikir mmekibadilisha toka muanze kupiga kelele?Kwa taarifa yako hizi kelele zinalipa ile mbaya, na huku mitandaoni ndipo kulipo na maoni halisi ya wananchi. Anayekudanganya kwamba haingii mitandaoni jua huyo anakudanganya. Huko kwenye tv, redio, magazeti nk hakuna uhuru wa maoni kama huku mitandaoni. Mitandao kwa sasa kwa ajili ya technolojia ndio yenye nguvu kuliko media yoyote.
Tenda zitakuwa zinapitishwa na Jumba Jeupe .............!!Nimepitia website ya PPRA sijaona report yoyote ya mchakato wa manunuzi, hebu tusaidie maswali yafuatayo
1. Tender ilitangazwa link na wapi??
2. Tender ni ya aina gani/ local/ interational/
3. Consultant ni nani?? design and build??
4. Bidders wengine nikina nani?
6. Criteria za kumpata lowest evaluated bidder in zipi??
Si tunaongelea maendeleo we unaleta siasa.Not Yet Uhuru, yote anayofanya jiwe hayana faida kama hatuna uhuru wa kuwachagua viongozi tuwatakao.
Kwani wananchi kutekwa sio aibu? Unataka ninindio uone aibu. Mtu aje nyumbani kwako kumteka mkeo?
Kuna kitu mnafikir mmekibadilisha toka muanze kupiga kelele?
Sina shaka siku za kuwasha majenereta kwa ajili ya kuzalisha umeme yako mbioni kufutika.Tulichelewa sana; nasubiri siku ambayo watu watanunua majenereta yatanunuliwa kwa ajili ya mtu kujitakia mwenyewe siyo kwa ajili ya kukosa umeme. Safi sana.
Sasa hapa umeandikaje ikiwa hakuna demokrasia?Maendeleo bila demokrasia ni sawa na kusema Tanzania tuna mbuzi milioni 50 wakati wanaokula nyama ya mbuzi hawazidi hata milioni 5, this is nonsense