Wewe pambana na Ihefu, hiyo ndiyo level yako, achana na dude linaitwa Simba utakufwaa.
 
Hakuna tatizo kuhusu rotation

Nyinyi mnapotaka kujenga hoja kuwa USM Algier ambao mliwasubua ndio hao waliomfunga Al Ahly.

Kitu ambacho sio kweli kwasababu wachezaji waliocheza na nyie kwenye fainali 90% hawakuwepo kwenye mechi ya Super Cup
Najua unapenda kubisha ili mradi okay.
kikosi kilicho cheza na Al Ahly

Kikosi kilicho cheza na Yanga second round.

Hiyo 90% umeipata wapi.
 
Umeshiba mihogo badala ule wali na maparachichi ya mbarali mbeya. Jinga kabisa.
 
Mshuka daraja yule.

Alimfunga Al Ahly akiwa amefanya rotation ya kikosi chake alichocheza fainali kwa 90%

Maana yake isingeweza kutamba kwa Al Ahly kama ingekuja na kikosi kile cha washuka daraja ambacho walicheza na nyie.
Kuna wakati unaoneshaga ujinga wa kipekee sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…