CAF: Draw ya makundi: Simba Group B, Yanga Group D
Hakuna tatizo kuhusu rotation

Nyinyi mnapotaka kujenga hoja kuwa USM Algier ambao mliwasubua ndio hao waliomfunga Al Ahly.

Kitu ambacho sio kweli kwasababu wachezaji waliocheza na nyie kwenye fainali 90% hawakuwepo kwenye mechi ya Super Cup
Najua unapenda kubisha ili mradi okay.
Screenshot_20231006_183927_Chrome.jpg
kikosi kilicho cheza na Al Ahly
Screenshot_20231006_183736_Chrome.jpg

Kikosi kilicho cheza na Yanga second round.

Hiyo 90% umeipata wapi.
 
Mshuka daraja yule.

Alimfunga Al Ahly akiwa amefanya rotation ya kikosi chake alichocheza fainali kwa 90%

Maana yake isingeweza kutamba kwa Al Ahly kama ingekuja na kikosi kile cha washuka daraja ambacho walicheza na nyie.
Kuna wakati unaoneshaga ujinga wa kipekee sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom