Yaani at least kwa miaka ya hivi karibuni Wangesema Rivers kidogo ingeingia akilini.Sijakataa. Ubingwa wake wa mwisho alichukua miaka 20 iliyopita.
Kwa miaka hii.. yaani miaka 10 iliyopita. Enyimba kacheza hatua ya makundi caf champions league mara moja tu. Ilikuwa mwaka 2016.
Baada ya hapo kwa miaka 7 mfululizo enyimba hajawai kucheza hatua ya makundi ya caf champions league.
Kwa kigezo alichosema mdau cha kuangalia ubora wa timu miaka mitano mfululizo iliyopita.. enyimba hana ubora wowote
Timu bora gani kwa miaka 10 mfulizo imegusa makundi mara 1 tu. Halafu useme ni mashindano ya timu bora
Na wew mbona ujapendelewaHili lipo wazi
CAF ni watu wa dili tu kama akina karia...Ningependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
Labdah waliangalia timu zinazofanya vizuri kwa ukanda na pia ndani ya miaka ya karibuni zilikuwa vema kwenye CCLNingependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
Hapo kwenye uboro.Point? alafu timu ubora kwa sasa haina uboro?? au imezingatiwa hivyo ili kulinda ubora wa Al ahly..!!?
Hoja na mafi akiwa nazo aliye kuzaa inatosha mkuuUna ma+vi kichwani
Bishana kwa hoja sio matusi
Hauna akili wew kwanza nini kimekufanya uchangie mada yangu we 🐖Wewe naona una matatizo sio bure si umesema kacheza club bingwa Africa?
Wew ni mwehuNani aliekuambia uchangie ujinga kwenye uzi wangu
Kufa kibuduSawa basi kaa na ujinga wako
Wewe ulitumia vigezo Gani kuwa na huyo michuano yao hata angetaka kumpa Ihefu shida niniNingependa kujua vigezo vilivyotumiwa na Caf kuanzisha haya mashindano kwa sababu kama wamechukua timu bora kila ukanda Kwa hivi sasa Rivers ni bora kuliko Enyimba
Kwenye CAF 5 years ranking Enyimba ni wa ngapi na ana point ngapi hadi sasa?Ni sawa, ila amecheza semi final confederation 2018, 2021 na 2021 amefika quarter finals confederation.
Sasa wewe (Yanga) unaejiona bora na kuona kwamba ulistahili kuweko badala ya Simba Sc, hiyo miaka (1998-2022) ulikuwa unaishia hatua gani CAFCL.?Mwaka 2020 enyimba alitolewa hatua ya awali ya ligi ya mabingwa africa.. hakufika makundi ya ligi ya mabingwa
Unatudanganya
Njoo Kigamboni nikupige hadi nikutoe damuNa wewe ni Tahira toa location ulipo nije tuzichape tumalizane