Uchaguzi 2020 Canada wataka uchunguzi ufanyike dhidi ya waliokiuka haki za binadamu katika Uchaguzi Mkuu 2020

Canada inaomba serikali ya TZ ijuchunguze yenyewe.. ah ok!
 
Uwiii haya
 
Usitegemee wote tuwaze kama nyie.
Pole. Kujua unawaza na kutenda vema ama vibaya ni pale, madhara ama mafanikio ya kuwaza na kutenda kwako yanapokufika ama kuyapata. Kwa hiyo, twangoja kuona madhara ama mafanikio ya kuwaza kwenu na kutenda. Ila ujue tu kuwa kuna uwezekano mkubwa sana wa madhara kwa walio wengi kuliko mafanikio kwa wachache wenu kama mtaendelea kuwaza na kutenda namna hii.
 
Mdogo mdogo tutaheshimiana.
UPINZANI KAZENI.
Bora tuishi Kama Zimbabwe ya Mugabe.
 
Wewe cheka tu, tutalimia wote meno.
Mbinyo unakuja upinzani wakikomaa mjue mtafungiwa kila mahali hapo sasa ndo tunaiona Zimbabwe ya Mugabe.
Yap watoematamko mfululizo kutuliza jazba za makamanda wasituletee fujo.
 
Mabeberu wamechanganyikiwa. Mpaka sasa hawaamini kuna mtu wao chalii.
Badala ya kuhurumia Watanzania wenzako waliouawa na kuumizwa kwa uroho wa madaraka, wewe unaongelea mabeberu. Yaani wanasiasa wanawalisha neno mnalimeza zima zima mnabaki kucheua tu. Siasa za Afrika si za kushabikia angalia maisha tu, Hao wote ni magenge ya mbwa mwitu tu, wanatutafuna tu, miaka mitano itaisha hutoona cha maana,
 
Serikali imeombwa na wenzao wa Canada kuwa wachunguze na kuchukua hatua za mauaji yaliyotokea ww unasema hutaki ushoga. What is wrong with you?
Mkuu, humu kuna watu wanaishi kama roboti. Yaani walivyoambiwa na viongozi wao kuhusu ushoga na mabeberu wamebaki kwenye kila hoja wanataja hayo maneno mawili.
 
The Canadians must be confused, how can you tell the perpetrators of violence to investigate the very crime they've committed?
Canadians seem to be alien to Tanzania.
 
Hawa wazungu wanashangaza sana. Tukiwa kwao hawatupendi na wanatubagua kama watu weusi. Ndio waje kutupenda kwenye chaguzi zetu? Yaani mzungu ye anawazaga maslahi yake tu, inaumiza sana kuona watu wetu hawawezi kujifunza kupitia historia au kupitia uzoefu.
 
Lissu chaliii...
Mabeberu wamepoteana huko wanaruka na kukanyagana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…