Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Udini unakusumbua tu wewe!Huku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.
Tumetoka mbali sana.
Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.
Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.
Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Una akili fupi kama mavi ya asubuhi.Tunao msapoti Samia tunajua kuna makosa atafanya ni ruksa kukosolewa..
Nyinyi mnae abudu Marehemu ndo kazi kwenu ..
Marehemu keshakufa hata mkimpamba ndo keshakufa
Ndio Maana Kamwaga Ajira Polisi, PCCB, Uhamamiaji, Magereza etcSamia hajiamini na ndicho kitakachomfanya awe katili kwa hofu
Una akili fupi kama mavi ya asubuhi.
Sio kila anaempinga huyo mama basi ni mfuasi wa Magufuli. Na hata angekua mfuasi hilo halimuondolei haki ya kumkosoa huyo mama yenu mwenye uwezo mdogo kichwani.
Halafu unaona kufa kama big deal sana? Mtu yoyote anaeona kifo cha mwenzake ama anashangilia unajua wazi kua hana akili maana kifo ni obvious kila mtu atakufa, hata huyo mama yako kesho anaweza kua amekufa, hivyo watu wengine waje kumnanga hapa kisa kafa? Mambo ya kipumbavu kabisa.
Hope watu mngeweza kutumia akili ndogo mlizonazo kujadili hoja.
Udini unakusumbua tu wewe!
UdiniNa nilipokuwa namkosoa Kikwete nilikuwa naongozwa na nini??
Acha utaaahira wakati wa jiwe ulishapita mwambie huyo Rais mwenye Maumbile ya kike ajiamini! Kwanza akumbuke maumbile yake sisis hatuna shida nayo!Carol Ndosi ni opposition members
Ambae alikuwa anaogopa kujitokeza wakati wa jiwe..naona sasa ana launch her political career upya...
Katiba sio issue issue ni uzalendo! Misaafu ipo kuzuia maovu lakini kila siku mnafanya maovu! Nchi inatakiwa ijenge uzalendo hata katiba ikija mambo yanakuwa mazuri! Unaona Kenya yanayoendelea ni ukabila tu licha ya katiba yao![emoji654]UPUUZI TU ....UDHAIFU WA KATIBA YETU NDIYO CHANZO CHA KUWEPO HAYA MAUZA×2 YOTE ......
NB: chief mkuda hangaya hana uwezo wa kuongoza ...
Mimi na wewe nani ameongesha hate, wewe attacking the dead man isn't hate?Smart people they don't get emotional na kuanza personal insults
Watu wenye akili hujibu hoja bila kutukana...
Post zako zinaonesha anger , insults na hate...
Hoja hamna kabisa ....
The more you talk the more hate inajionesha..
Acha utaaahira wakati wa jiwe ulishapita mwambie huyo Rais mwenye Maumbile ya kike ajiamini! Kwanza akumbuke maumbile yake sisis hatuna shida nayo!
IndeedHuku ndo Ku enjoy uhuru wa kukosoa.
Tumetoka mbali sana.
Samia anaweza kukosolewa na Carol Ndosi.
Wakati Magufuli hata Ayubu Rioba asingeweza kukosoa.
Great ..
Tujivunie nchi yetu kwa kweli..
Tumerudi kuwa civilised nation
Mimi na wewe nani ameongesha hate, wewe attacking the dead man isn't hate?
Mtu is dead and gone, he can do nothing, you attack him, halafu unasema mimi nimejaa hate, this is ridiculous.
Wewe ulikua na uwezo wa kujibu hoja ulishindwa nini ukaishia kumshambulia marehemu?
Tumia akili kidogo uliyonayo kujadili hoja.
Wewe tunakujua kazi yako kuzungumzia kifo cha magufuli na kushangilia kico chake! Hivi wewe huwa hauna ndugu wa karibu hujui kuwa hata leo unaweza kufa wewe au kufiwa na watu wako wa karibu! Unaonaga kuwa kila mtu anayemkosoa Rais wenu mwenye maumbile ya kike ni team Magufuli! Best akifanya ujinga lazima aambiwe! Kifo sni cha wote!Smart people they don't get emotional na kuanza personal insults
Watu wenye akili hujibu hoja bila kutukana...
Post zako zinaonesha anger , insults na hate...
Hoja hamna kabisa ....
The more you talk the more hate inajionesha..
Halijafa jina mkuu,mi naona kurelate ni muhimu ili watu wajue walipotoka.Mbona nyerere bado anazungumziwa.Mimi na wewe nani ameongesha hate, wewe attacking the dead man isn't hate?
Mtu is dead and gone, he can do nothing, you attack him, halafu unasema mimi nimejaa hate, this is ridiculous.
Wewe ulikua na uwezo wa kujibu hoja ulishindwa nini ukaishia kumshambulia marehemu?
Tumia akili kidogo uliyonayo kujadili hoja.
Kwa akili yako wakati wa Maguguli mlikuwa hamkosoi? Hivi mtandaoni ulikuwepo wewe tu wengine hamkuwepo! Unataka kutuaminisha kana kwamba wakati wa magufuli mlizuiwa kutoa maoni yenu! Wewe ni stupid mkubwa!Hata Nyerere tuna mu attack humu na alishakufa....
Viongozi hujadiliwa hata baada ya kifo..
But wewe Una attack anaechangia hoja simply sababu kaongea tofauti na unacho amini....
Actually sijasema alichoongea Ndosi sio sahihi
Nimetazama angle ingine mbona hakuwahi kukosoa chochote wakati wa Magufuli?
Why anakosoa now?
Ohhh sababu Uhuru wa kukosoa umerudi?
Ohhh nani kaurudisha?Ohhh Samia....
There you are
Nyerere anakua attacked humu lakini ulichokiandika kuhusu Magufuli sijawahi kuona mtu anakiandika kuhusu marehemu yeyote. Wewe unashangilia kufa kwa Magufuli.Hata Nyerere tuna mu attack humu na alishakufa....
Viongozi hujadiliwa hata baada ya kifo..
But wewe Una attack anaechangia hoja simply sababu kaongea tofauti na unacho amini....
Actually sijasema alichoongea Ndosi sio sahihi
Nimetazama angle ingine mbona hakuwahi kukosoa chochote wakati wa Magufuli?
Why anakosoa now?
Ohhh sababu Uhuru wa kukosoa umerudi?
Ohhh nani kaurudisha?Ohhh Samia....
There you are
Kwa akili yako wakati wa Maguguli mlikuwa hamkosoi? Hivi mtandaoni ulikuwepo wewe tu wengine hamkuwepo! Unataka kutuaminisha kana kwamba wakati wa magufuli mlizuiwa kutoa maoni yenu! Wewe ni stupid mkubwa!
Ndugu mpaka leo mnajicha kwenye kivuli cha marehemu, ni muda wa kufanya kazi. Hizo comparison mnazozifanya hazisaidii nchi, kama marehemu aliharibu ni muda wa kuonyesha serikali mpya imefanya nini au inapaswa kufanya nini. Mambo ya kujificha kwenye msiba wa mtu ni utoto, suala la kufa ni la muda tu, sijui kama hujawah kufiwa? Ikiwa hujawahi kufiwa basi ndugu zako watakuja kufiwa ukiwa wewe upo chini ya futi sita kaburini. Ni suala la muda tu.Tunao msapoti Samia tunajua kuna makosa atafanya ni ruksa kukosolewa..
Nyinyi mnae abudu Marehemu ndo kazi kwenu ..
Marehemu keshakufa hata mkimpamba ndo keshakufa