Uchaguzi 2020 CASE STUDY - Jimbo la Hai - Walitumia teknolojia gani kupata matokeo sahihi ya kila kituo ndani ya saa 8?

Yaani lijama wewe ni zero. Unaleta hisia. Basi ujue huyo tapeli wako keshashindwa na hatokuja kuwa mbunge tena wa Hai.
Wewe ndiyo tapeli kwa kunajisi kuubaka kuulawiti uchaguzi jimbo la Hai
 
No no no no..., Usimshut risasi. Wewe mwenyewe unaijua nchi yetu jinsi inavyodhibiti watu wakweli. Mara nyingine shinikizo linakuwa kubwa kuzid ukweli.
Walisha jiwekea uzio kwamba wao ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo ma sivinginevyo!
Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania bali ni CCM wameulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Si afadhali kweli kama kungewa na vyombo vya usalama.

Watendaji wa jinai wanaoongoza ni hao hao unaowaita vyombo vya usalama.

Ndio wapangaji na wafanikishaji zoezi la kukwapua uchaguzi.
 
Take these words...
One day yes...
Hatuwezi kwenda kinyume na aliyoyapanga ALLAH. Anasema Yeye yuko na wenye kusubiri
 

Kwanini kusumbuka na kesi moja moja mahakamani kama kuna ushahidi wa karatasi za kupigia kura zikiwa zimezagaa katika nchi nzima, si ni bora kuiambia dunia kulichokea ili uchaguzi uweze kufutwa
 
Uchaguzi haufutwi, hautorudiwa, Kura zilihesabiwa na mawakala wakasaini.

Miaka mitano si mingi kama kuna uzima, mhimu ni kujiandaa kwa wakati ujao.

Hongera Watanzania kwa kufanya na kumaliza uchaguzi salama.Walioshinda ni Watanzania wote bila kujali itikadi zao.
 
Sasa hapo uthibitisho uko wapi? Maana kwenye title umesema una uthibitisho.
 
Lete takwimu siyo porojo, watu wangapi wangapi waliojiandikisha, wangapi waliopiga kura na kila mgombea alipata kura ngapi tuone Kama Kuna kura feki.

Vinginevyo kubalini tu hiki Kipigo Cha shoga mwizi.
 
hichi cha hai ni kituko kingine
Siyo kituko ni upumbavu.

Lakini haya yote tuliyapalilia sisi wenyewe wananchi mwanzo wa uchaguzi.

Kama tungeweza kushinikiza tume irejeshe wagombea wa vyama vingine Tume ingeogopa kufanya uhuni wa wazi wazi.

Ukimya wetu unachukuliwa kama approval na watawala wetu.

Hebu imagine mtoto kama Sabaya anawinda mtu kwa bunduki na wananchi wako kimya huoni kuwa tunampa uhalali wa kuendelea na huo upuuzi ?
 
Mkuu umenena ukweli mtupu,ccm imejitangaza kwa kura za kupika walijua watanzania hawawataki...kilichobaki wabunge wao na rais hawajiamini wanajua wamepita kma viti maalum
 
Iko siku atawaambia mshahara hakuna ndio makalio watawawasha vizuri tuwakune na tupa.
 
Nawashauri - NENDENI KWA PILATO! Kwa vile wewe unao ushahidi na ulikuwepo hapo kituoni, GOOD washauri mwende Mahakamani kudai hiyo "haki" yenu badala ya kulalama humu JF! Anyway bado mnao muda, jaribuni kukusanya mashahidi na ushahidi wa kutosha ili kumrudisha Mbowe kama KIONGOZI WA UPINZANI Bungeni.
 
Mkuuu Muda mwingine Naona kama viongozi wa upinzani wamezingua
huwezi kwenda kwenye uchaguzi na tume kama hii
Ni kama unaingia uwanjan na matokeo mkononi ukijiaminisha mpira una dunda....
Tume tunaikosoa kila siku miaka nenda lud
Maamuz tuliyoyafanya mwaka jana ilibid mwaka huu tuyaige hayo hayo
Bora kususia uchaguzi kuliko hii triumph ya urafi iliyofanyika....
 
Nilishani unatuwekea ushahidi hapa. Kumbe porojo hat hujataja kilomita za jiografia unayotegemea na matokeo ya mwisho yaliingia saa bgapi?
Hapa umepiga hekaya kama za abunuwasi tu.
 
Hakuna anayeweka karatssi ya mayokeo hapa. Porojo zimezidi
 
uchaguzi uweze kufutwa
'Tanzania inaendeshwa na watanzania'. Na watanzania ni sehemu ya dunia. Dunia si mmiliki wa watanzania na Tanzania yao. Mkuu, naomba ulewe hivyo. Usidanganywe!
 
Huwezi kususia uchaguzi bila plann B.

Kususia uchaguzi kusingebadilisha chochote kwenye tume ya uchaguzi.

Tumesusia serikali za mitaa nini kimetokea.

Uchaguzi ni political platforms ya kueleza reforms unazozitaka ni njia pia ya kufanya political engagement na wananchi.

Unaposema wasusie uchaguzi watumie platform ipi kupigania reforms tunazozitaka ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…