minyoo
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 22,405
- 21,100
Wewe ndiyo tapeli kwa kunajisi kuubaka kuulawiti uchaguzi jimbo la HaiYaani lijama wewe ni zero. Unaleta hisia. Basi ujue huyo tapeli wako keshashindwa na hatokuja kuwa mbunge tena wa Hai.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe ndiyo tapeli kwa kunajisi kuubaka kuulawiti uchaguzi jimbo la HaiYaani lijama wewe ni zero. Unaleta hisia. Basi ujue huyo tapeli wako keshashindwa na hatokuja kuwa mbunge tena wa Hai.
Hakuna uchaguzi umefanyika Tanzania bali ni CCM wameulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetaniNo no no no..., Usimshut risasi. Wewe mwenyewe unaijua nchi yetu jinsi inavyodhibiti watu wakweli. Mara nyingine shinikizo linakuwa kubwa kuzid ukweli.
Walisha jiwekea uzio kwamba wao ndio wenye mamlaka ya kutangaza matokeo ma sivinginevyo!
Si afadhali kweli kama kungewa na vyombo vya usalama.Bila kudhibitisha/verify utambulisho wako kuwa ni mfanyakazi wa serikali sehemu ipi, namba ya kitambulisho chako, kituo ulichoshiriki kusimamia uchaguzi, mkuu wa usimamizi wa uchaguzi kituoni hapo, barua ya utambulisho kutoka NEC kuwa wewe ni msimamizi halali wa uchaguji; moja kwa moja tunakuweka kwenye kundi la watu waongo na wenye nia mbaya dhidi ya watanzania. Na kwa kweli Vyombo vya usalama vikikupata vikutendee haki yako kwa wewe kutaka kuhatarisha maisha na mali za watanzania.
Sawa kabisa. Sasa kwanini msikusanye huo ushahidi wote then mkaenda mahakamani. Ni muhimu kutumia huu uzalendo ulionyesha hapa kwa kusema ukweli utumike huko, uwe shahidi upande wa kina mbowe ili wapate haki yao otherwise utaonekana ni mnafiki au unatumiwa tu..
Ujinga tu kulikua na shujaa kama makonda aliyekua anatukuzwa na kunyenyekewa?Mbowe kadhibitiwa na dogo janja.
Safi sana Sabaya, wewe ni shujaa.
Sasa hapo uthibitisho uko wapi? Maana kwenye title umesema una uthibitisho.Jimbo la Uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
hichi cha hai ni kituko kingineAlisaini vipi matokeo wakati uchaguzi ulifanyika akiwa yuko kwenye home detention?
Lete takwimu siyo porojo, watu wangapi wangapi waliojiandikisha, wangapi waliopiga kura na kila mgombea alipata kura ngapi tuone Kama Kuna kura feki.Jimbo la Uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Siyo kituko ni upumbavu.hichi cha hai ni kituko kingine
Mkuu umenena ukweli mtupu,ccm imejitangaza kwa kura za kupika walijua watanzania hawawataki...kilichobaki wabunge wao na rais hawajiamini wanajua wamepita kma viti maalumJimbo la Uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho...
Iko siku atawaambia mshahara hakuna ndio makalio watawawasha vizuri tuwakune na tupa.Kwa mfano Mbowe Kashindwa, hivi Unapata faida gani kushindwa kwa mtu huyu. Subiri Utafurahia kushidwa kwa Mbowe na Wapenzani wote Pale baada ya Miaka Miwili...Mitatu.
Kama miaka Mitano Umeinjoy then Jua Mitano Mingine utaenjoy mara dufu.
Kama ulikuwa Kajambanani/Chokola then jua utakuwa hivyo mara dufu.
Mkuuu Muda mwingine Naona kama viongozi wa upinzani wamezinguaSiyo kituko ni upumbavu.
Lakini haya yote tuliyapalilia sisi wenyewe wananchi mwanzo wa uchaguzi.
Kama tungeweza kushinikiza tume irejeshe wagombea wa vyama vingine Tume ingeogopa kufanya uhuni wa wazi wazi.
Ukimya wetu unachukuliwa kama approval na watawala wetu.
Hebu imagine mtoto kama Sabaya anawinda mtu kwa bunduki na wananchi wako kimya huoni kuwa tunampa uhalali wa kuendelea na huo upuuzi ?
Nilishani unatuwekea ushahidi hapa. Kumbe porojo hat hujataja kilomita za jiografia unayotegemea na matokeo ya mwisho yaliingia saa bgapi?Jimbo la uchaguzi la HAI liko mkoa wa Kilimanjaro. Ni jimbo ambalo "the most wanted person" na watawala wa CCM, mwenyekiti wa taifa wa chama kikuu cha upinzani Tanzania - CHADEMA ndugu Freeman Aikael Mbowe aligombea ubunge kupitia chama chake hicho....
Hakuna anayeweka karatssi ya mayokeo hapa. Porojo zimezidiSawa kabisa. Sasa kwanini msikusanye huo ushahidi wote then mkaenda mahakamani. Ni muhimu kutumia huu uzalendo ulionyesha hapa kwa kusema ukweli utumike huko, uwe shahidi upande wa kina mbowe ili wapate haki yao otherwise utaonekana ni mnafiki au unatumiwa tu.
Na hayo yote yanatokea kwanini nyinyi kama wasimamizi na mawakala mnakubari kama sio kushiriki kwenye dhurma? au hujapata mgao wako?
Watu kama nyinyi ni kutia risasi kabisa, maana mnashiriki kuiangamiza nchi.
'Tanzania inaendeshwa na watanzania'. Na watanzania ni sehemu ya dunia. Dunia si mmiliki wa watanzania na Tanzania yao. Mkuu, naomba ulewe hivyo. Usidanganywe!uchaguzi uweze kufutwa
Huwezi kususia uchaguzi bila plann B.Mkuuu Muda mwingine Naona kama viongozi wa upinzani wamezingua
huwezi kwenda kwenye uchaguzi na tume kama hii
Ni kama unaingia uwanjan na matokeo mkononi ukijiaminisha mpira una dunda....
Tume tunaikosoa kila siku miaka nenda lud
Maamuz tuliyoyafanya mwaka jana ilibid mwaka huu tuyaige hayo hayo
Bora kususia uchaguzi kuliko hii triumph ya urafi iliyofanyika....