Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Hakika vijana wa Kiislam wanaoa na kutulia ndoani, mfano: Diamond, Ally Kiba, Khadji Manara n.k
 
Usichanganye tamaa za mali za wazazi na ukristo wewe!!! Hao ni wazazi wenye tamaa ya mali. Haihusiani na ukristo!! Inaonekana hata Wakristo wenyewe hawaelewi hili!!!
 
Narudia tena hayo unayosema HAYAHUSIANI na mafundisho yoyote ya dini au ya dhehebu au ya KIKRISTO!!!! Huo unakuwa ni uamuzi BINAFSI wa familia unayotaka kuoa!!! They have NOTHING TO DO WITH CHRISTIANITY!!! Hakuna mafundisho kama hayo!!!
 
Yoyote anayeamua kufanya haya AMEAMUA mwenyewe kuyafanya. HAKUNA dhehebu LOLOTE la kikristu LINALAZIMISHA binti aolewe kwa mahari kubwa, au harusi iwe ya gharama kubwa, HAKUNA. Hakuna mafundisho hayo kwenye ukristo!!

Msichanganye maamuzi binafsi ya watu na ukristo!!!
 
Narudia tena hayo unayosema HAYAHUSIANI na mafundisho yoyote ya dini au ya dhehebu au ya KIKRISTO!!!! Huo unakuwa ni uamuzi BINAFSI wa familia unayotaka kuoa!!! They have NOTHING TO DO WITH CHRISTIANITY!!! Hakuna mafundisho kama hayo!!!
Ukiristu huwezi kuutenga na masuala ya kimila, tofauti na uislamu imesimama wenyewe km wenyewe hakuna masuala ya kimila mradi wote wanaonana ni waislamu shekhe anaitwa kuchoma ubani inapigwa dua ya faster faster huku watu wanaopoa mpunga jikoni ndani ya masaa 2/3 ndoa tayari unabeba mwali wako yule unaenda kuishi nae, wakristu ni process za kimila zinahusika blangeti la Babu mkaja wa Bibi na mengene km hayo, hapo ushaambiwa mahari Million 3.5 we unataka useme hata Mahari ya Wakristu ambayo ipo juu kuzidi waislamu haiusiani na ukristu ?
 
Simple tu hapa,
Kiislam ili uoe chai maandazi yako na ubani vinatosha kabisa, Ustaadh wapo tu.

Njoo kwenye ukristo sasa, mambo meeengiiii.
Siyo ukristo!!! Hakuna mafundisho hayo kuhusu ndoa kwenye ukristo. Huo huwa ni uamuzi binafsi wa familia husika!!! Msichanganye mambo jamani. Mahari kubwa, sherehe za gharama kubwa has nothing to do with ukristo. Hakuna mafundisho hayo kwenye ukristo. Hayo ni maamuzi ya mtu binafsi.
 
Ukishaoa utaelewa. Sasa hivi tulia tu mdogo wangu
In short argument yangu haikuwa kwako personally. Maswali niliyouliza ilikuwa ni general pamoja na kwamba niliandika kama nakuhoji wewe personally.
 
HAKUNA KITU KAMA HICHO KWENYE UKRISTO!!! Wewe unachanganya na mambo ya makabila na mila za makabila!!! Huo SIYO UKRISTO. Mambo ya mablankenti ya sijui bibi shangazi has NOTHING TO DO WITH CHRISTIANITY
 
Kwakua hujui kuazia Sasa ujue

# ukiachana na misemo mingi kuhusu maendeleo nikwamba Ili uendelee tunahitaji mambo mawili makuu

1-- vitu
2- watu

Ukiristu tayari una idadi kubwa mno ya vitu na watu(waumini)kuuzidi uislam duniani sio TZ'nia tu,hata wazaliane vipi hawawezi kuukuta ukristu Kwa idadi ya vitu na watu(maendeleo)


Kuoa kwao ,kusikushitue kwalolote tafuta HeLa(dollar)
 
1. Ndoa za Kikafiri ni pingu. Once ukiingia, kutoka kuna complications kishenzi!

2. Gharama gharama gharama. Kuanzia mahari, harusi yenyewe.

3. Uzinifu kwa kijana Kafiri ni kama kunywa maji tu.

Nyie ndoa sio kitu na ndio maana mtume wenu yule Mohammed licha ya kuwa mzee wa miaka 50 hakuona aibu ya kuoa katoto ka miaka 6 na kukagegeda kakiwa na miaka 9.
 
Ni kweli lakini pia vijana wa Kiislam wanapenda mteremko sana, kila kitu watataka wachangiwe
 
Ukristo siyo dini.

Dini kwa Mwenyezi Mungu ni Uislam tu.
Dini ni nini?

Niliwahi kukukaba kwenye uzi mmoja hivi unipe definition ya DINI ukala kona mazima mpaka leo.

Hukuthubutu kuweka definition ya neno Dini, na wavaa kobazi wenzako nao hawakuwa tayari kabisa kuweka definition ya neno Dini, wakala kona kama wewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…