Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Case Study: Ni nadra sana kukuta kijana wa kiislam hajaoa lakini inazidi kuwa kawaida kumkuta kijana wa kikristo anakwepa ndoa, Nini chanzo ?

Kinachokwamisha vijana wa kikristo kuoa ni mahari tu unaambiwa simple tu utoe mahari mil 3 ?
Kwa waislamu elfu 50 tu unachukua jiko
Hata hilo jiko la elfu50 huwa ni tofauti sana na lile la milion3 japokua yote yanapika chakula
 
Just imagine ndoa za mwezi wa Ramadhani zilivyo lukuki ndio utajua huko hakuna ndoa ni uzinzi na uasherati tu. Baada ya Iddi mnatemana.
😀😀😀

Ndoa nyingi za watu wa hali ya chini na immature, ndio maana hata watoto wa mitaani wengi ni wa upande huo.
 
Ht wakristo wengi tu wanatengana...then kila mmoja anatafuta wa kuzini nae...maisha yanaendelea

Ila pia inategemea na mahali ulipo, kila mtu anatumia references zake. Huku kwetu raha tu, hakuna makasiriko.
Swala la uzinzi halina ubishi, sio kwa wakristo tu hata ndugu zetu upande wa pili wanawekana sio poa. Mtu ana wake wawili lakini bado tamaa imemjaa kweli kweli. Tofauti yenu na sie ni urahisi wa kuoa na kuachana, mengine mimi naona tuko sawa tu, uzinzi hatujaachana wala.
 
Sisi wakristo tuna Mlolongo mrefu sana. UNakuta Binti bikra imetolewa vichakani halafu wazazi wake wanataka watajirikie kwa mtoa mahari, na wanakukazia kwelikweli kama Nyerere alivyomkazia mzungu. Ndio maana tupo slow kama konokono.. ukija race huku kwetu utajikuta u NALIA NGWENA na utarudi ki-ngugi

Kilimbatzz
Aaaahàaaaa

Naunga mkono hoja mkuu
 
Sababu ni hii:
"Mpaka kifo kitutenganishe".
Yaani unalazimishwa kuishi na lijitu jingajinga maisha yako yote.
Demi kwani mpaka mnaamua kufunga ndoa hukuona kuwa huyo mtu ni mjingamjinga? Au ulidhani angebadilika baada ya kufunga ndoa? Au hukuchukua muda kumsoma ukakimbilia ndoa?
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
ukweli mchungu, kwanza inachangia na kumuogopa Mungu, Sababu kwenye Uisilamu huwezi kufunga ramadhani huku unaishi na kimada, lakini kwenye Ukristo sijawahi sikia kitu kama hicho

Sasa hii inasaidia sana vijana wa Kiisilamu kufunga ndoa kipindi hicho, au tuseme vijana wa Kiisilamu wanautii kwenye Dini yao au Wanamuogopa Muumba wa
 
Kwa hiyo magaidi ni mtelezo tu?
Tukubaliane kiroho safi[emoji23][emoji23]
1. Wakristo=kafiri
2. Waislam=magaidi[emoji23][emoji23]
Hakuna andiko hata kwenye biblia linalo thibitisha kuwa uisilamu ni ugaidi lakini ukirito ukafiri andiko lipo
 
Karne ya leo bado watu watu mna muda wa kufuatilia mambo binafsi ya watu? Miafrika bado mna safari ndefu.
Tuwache na safari yetu wewe nenda kwa wazungu wenzio,kuoa utaki uzinzi unautaka
 
Wengi wao hawakwenda shule za juu, hivyo mila za kijadi na kidini zinatawala zaidi ,maisha na matendo yao kuliko modern form of life ....so to say westernised..... maisha yao wameyakabidhi kwa Allah! . Moslems their religion is quite internalised. Mfano madrasa mtoto akikosa kwenda anaweza kupigwa mpaka akafa, lkn hizi formal schooling asipokwenda huwa siyo hoja sana as long as amekwenda madrasa

The Arabic term islām, literally “surrender,” illuminates the fundamental religious idea of Islam—that the believer (called a Muslim, from the active particle of islām) accepts surrender to the will of Allah (in Arabic, Allāh: God)
Hiyo elimu yako unayojivunia, ukifa itaishia kaburini, lakini hii Elimu yangu ya Quruani ya Madrasa, nikifa nitafufuka nayo, halafu Mwenyezi Mungu, ataniambia Soma mpaka ulipoishia kule duniani, na nitapewa JANA au sehemu ya peponi kutokana na elimu yangu

Ndiyo maana watoto zenu na watoto zetu hawatafanana kamwe, kutokana na hizi elimu mbili zilizotofautiana
 
Waislamu wanaweza OA hata kwa kilo 2 za Mchele na uduvi.

Huku kwety wathesalonike

Mama anataka sherehe kubwa kisa na yeye huwa anachanga kwenye shsrehe za watu.

Mchumba anataka sherehe kubwa kisa akawatambie mashosti zake.

Kumbuka hapo asilimia kubwa ni wewe utaingia gharama za posa, mahari, mchango wa sherehe wewe kama wewe lazima milioni na ushee ikutoke. Bado mavazi ya mwanamke na Yako na ya wapambe wenu. Bado hajaenda saluni. Aisee

Siku hizi tunasogeza tuishi tu akilazimisha sana mambo wakati uchumi haijatengamaa unamwambie hujambana aamue mwenyewe abaki au asepe.
Lakini hayo yote has nothing to do with christianity!!! Hakuna popote ukristo umefundisha au kuelekeza hayo!!! Ni maamuzi au mawazo binafsi ya watu.
 
Yaani Uislam uliozaliwa miaka zaidi ya 500 baada ya Uikristo, ndiyo uwe dini!! Kwa hiyo kama Uikristo ni nini sasa kama siyo dini!!

Kweli Mudi amewapofusha macho aise

Yaani Uislam uliozaliwa miaka zaidi ya 500 baada ya Uikristo, ndiyo uwe dini!! Kwa hiyo kama Uikristo ni nini sasa kama siyo dini!!

Kweli Mudi amewapofusha macho aisee.
Mama msomi ameshalijibu hilo,
Ukristo ni Iman dini ni Uislam tu.
 
Wakristo kuoa ni gharama sanaaa kulinganisha na waislaam, ndoa ya kiislam haitajiii mbwembweee kama za wakristo
Ukristo haujafundisha hayo!! Ni maamuzi ya mtu binafsi!!! You can make it simple. Mambo hayo hayana uhusiano na ukristo
 
Hata hizo Ukristo mbwembwe unakuwa unazitaka mwenyewe,kwani ukimtaka binti ukaenda kwao ukasema una laki 1 au 2 kama mahali watakukatalia???
Sielewi ni kwa nini watu wanahusisha ndoa za gharama na ukristo!!! Siyo sawa hata kidogo!!! Hayo ni maamuzi ya mtu mwenyewe , hayahusiani na dini. You can make it simple if you want.
 
Na hapa nazungumzia hasa vijana wa chini ya miaka 30 ambao ni umri uliozoeleka kwa kijana kuoa na kupata mtoto ndani ya ndoa.

Nikiangalia niliohitimu nao chuo degree, rika letu kwa sasa ni miaka 32 hadi 33, vijana wote wa kiislam walishaoa mapema kabla hawajavuka miaka 28, huku kwa wakristo hadi sasa ni asilimia 50 tu waliooa, wasio na ndoa wapo wenye watoto huku kwenye suala la mahusiano kubadili wanawake kwao ni kula ujana.

Shirika nililoajiriwa huwa kuna muda nasupervise matawi tofauti tofauti hata ya mikoa ya karibu, imekuwa ni kawaida sana kukuta vijana wa kiislam kuwakuta tayari wameshaoa lakini kwa upande wa vijana wa kikristo utawakuta waliooa ni watano kato ya kumi.
Ndoa za Islamic ni za kihuni
 
Gharama Mzee Baba, waislamu hata 10,000/- hadi 100,000/- km mahari wanapokea unafungishwa ndoa kiroho safi kabisa, wakristu Ndoa ni gharama kishenzi ukitaka kuoa andaa kitita Cha kutosha kuanzia 1.5M / 2M na kuendelea
Hayo ni maamuzi binafsi hayana uhusiano na ukristo!!!
 
Hayo ni maamuzi binafsi hayana uhusiano na ukristo!!!
Nenda na 100,000/- kampose mtoto wa Mbonde uone km hujarudishwa unaambiwa kijana mahari ya binti yetu ni million 3.5 hapo bado hujaleta koti la Babu na mkoja wa Bibi, waislamu hawanaga huo ujinga kwanza anaepanga mahari kwa waislamu ni mwanamke anaeolewa sio wazazi wake maana wao mahari ni zawadi ya mwanamke sio zawadi ya wazazi na Ukoo, Ila wakristu mahari ni zawadi ya wazazi na Ukoo wanaendesha Mambo kimila zaidi sio kidini km ilivyo kwa waislamu
 
Back
Top Bottom